MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Naona Arumeru wameamua KUKIVUA KIATU maana miaka 50 sasa wameona kinawabana
 
Nimependa matokeo hayo. Naona saa ya ukombozi imefika kwa wana Arumeru. Matokeo yawe CDM juu na CCM chali...
 
Jamani vijijini vp tusije tukashindwa kunywa maji.
 
Kazi iko kijijini huko, angalieni sana huko ndiyo CCM wanavuna kama mazao!!

Hapana hawavuni, maana kuvuna ni kupata cha halali, Ila wanamimina kwenye maboksi. I hope Chedema wapo makini sana kwenye uchaguzi huu.
 
Matokeo yaliyo positive kwa CCM hamuyaweki hapa!!
Acha wendawazimu wako, wayaweke kutoka wapi wakati unaona hayo ndio yaliyotoka kwenye sanduku? Mwigulu naye atuwekee ya kwake hapa tulinganishe, au Prof Maji Mafupi atumie tunguli zake kutuletea matokeo
 
Kwa kupata uhakika tunaomba matokeo yawekwe yote hata kama si mazuri kwa M4C tuweze kujua
 
Jamani igunga ilianza hivi hivi, mwisho tukasikia magamba wameshinda kwa 2000! Tulieni!
 
mods.....please dont take this as a shout to you..
TUNAOMBA MZIUNGANISHE HIZI THREADS ZA MATOKEO ILI TUWEZE KUFUATILIA VIZURI.
 
Ee Mungu wa isaka na Yakobo,kumbuka kuwa endapo utakubali watoa rushwa washinde, basi wataendelea kutamba na hawakuheshimu wewe E Mungu mkuu, onyesha basi makucha yako, wararue bila huruma hawa wanaokula vya wajane na mayatima
 
tumewashika pabaya''tunasikia wameanza kuondoka arumeru'lowassa kakimbia eti ana kikao mahali

Nikikumbuka Igunga matokeo yalivyo badirika mwishoni, haya matokeo ya awali siyategemei sana maana Igunga CDM iliiacha CCM kwa mbali ktk matokeo ya awali toka vituoni. Yalipoanza majumuisho kila kitu kikabadirika.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom