MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Vituo 337 kwa vituo ambavyo vimetangazwa cdm inaongaza vyote kwa kura zaidi ya 88. Safi sana. Kituo cha Uraki ccm 28 cdm 56 ngarasero cdm116 ccm 51 kisambare A cdm 110 ccm63 kisambare B
113 cdm 53
 
huenda haya ndo matokeo ya kweli coz tangu saa 10 ni saa moja sasa imepita na inaelekea ya pili.
 
ni spirit ya kipekee kabisa wana Arumeru wanatufundisha. Ni kwamba kama wana CDM wakitaka kutoibiwa kura zao wanaweza. Kura zimelindwa hadi dakika ya mwisho. Cha msingi ni kuendelea kuzilinda kwani mbinu za kipekee zaweza kutumika katika hatua za mwishomwisho kabisa
 
Usa river sokoni cdm-103 cm 29 kituo namba 2 cdm 88 cm41

Lusinde huko pressure inapanda huko haaaaaa kudadadeki
napata matokeo kotekote:


Mjimwema:ccm 51 cdm 144
Ccm 33 cdm 141
Cdm 125 ccm 35

Mliman tv sos;amin mgeni
 
Eee Mungu Baba Muumba endelea kuweka baraka zako tuishinde hi vita Chadema washinde!
 
Mpaka sasa...

Kituo cha Shule ya Msingi Misufini, Kata ya Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, hakuna kura iliyoharibika.

Makiba Majengo 02, CCM 87, CHADEMA 93, Ofisi ya Kata Majengo (Makiba) 04, CHADEMA 75, CCM 88, DP 2 jumla 166, iliyoharibika 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Ambureni O2, DP 1, AFP 1, CCM 47, CHADEMA 194,

Usa River Shule ya Msingi CHADEMA 111, CCM 37

Leo hakuna kulala mpaka kieleweke...
 
kituo cha nshapu 3 kata ya nkoaranga...Chadema 110,ccm 74
Kituo cha ngarasero A4..chadema 116, ccm 51
Kituo AFP - CHADEMA - 141 CCM - 32 Mbovu

.
Ni hakika mkuu? Kama ni hivyo basi nyota njema huonekana asubuhi.
.
 
..ingefaa tupate matokeo ya sehemu ambazo CCM inaonekana ina nguvu ili baadae wasije kusema ya awali yalikuwa kule wanakokubalika CDM tu...
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom