MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Nasubiri matokeo rasimu yatangazwe na Mungu wa Mbingu na Nchi atasaidia sauti ya watu itasikika, nataka kuwapa somo Lowassa na Mkapa. This will be big shame on them
 
cdm ccm

ngaresero 116 51

kisambale "1" 110 63

kisambale "2" 113 56

misufini "A1" 209 52

misufini "A2" 195 40

misufini "A3" 208 45

s/m mazoezi(patandi) "1" 120 49


'' '' "2" 128 50

" " "3" 127 50

" " "4" 124 45
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
s/m usa river cdm 111,ccm 37
embaseni A cdm 104,ccm 52
leganga sm cdm 146,ccm 20
tengeru chuoni cdm114,ccm 24
tengeru hospt cdm 220,ccm 40
kikuleto ofisini cdm 104,ccm 84
sm leganga cdm 142,ccm 22
magadilisho sm A cdm 116,ccm 37
B cdm 111,ccm 34
majiachai A,B,C,D,E cdm 573,ccm 276
ngwandua(chama,ushirika na mwivaro) cdm 507,ccm 150
usa river sokon 1 na 2 cdm 191,ccm 70

Jamani ina maana watu wameichoka hivyo CCM au ni kutokana na matusi ya akina Lusinde? Itabidi niwaombe wazazi wangu wakihame sasa kwani kinanidharirisha
 
Kwa majimbo kama haya matokeo ya kuamua mshindi hutokea mashambani !

Si kweli. Sema CCM imekuwa ikitumia kisingizio hicho kwa muda mrefu. Kwa jinsi ninaifahamu Arumeru, haya matokeo ni reflection ya final tallies. Anything less than that itakuwa ni kutafuta balaa!
 
angalieni itv sasa hivi. wanaonyesha matokeo.
 
Naona wana-arumeru wamekataa kufanywa wapumbavu...wamezoea sn hawa CCM wanafanya km hii inji ni yao peke yao
 
hadi sasa matokeo mliyo tangaza hapa jf ni
chadema 2251 ili hali ccm 978 je ni kweli ???

mkuu kuna mengine yanajirudia rudia, kwani wamekuwa watu tofauti wanapost matokeo hapa!! unaweza kuta mtu kasikia redio FM, kweka, mwingine kasikia redio FM pia kaweka, hivyo usizubae na matoke ukapoteza muda kujumlisha

Pamoja sana mkuu
 
Hapa lazima kieleweke,
cdm tayari kuwakilisha Bungeni

hapana ccm ni kama nyoka ukitaka kumuuwa ukate kichwa kabisa watu wasianze kushangilia wakaacha kulinda matokeo ya mwisho!!
 
Naomba mwenye hesabu za uhakika atupe jumla ya kura ambazo mpaka sasa hivi tunazijua, ili zikija na za kijijini tuweze kuliganisha
 
Anaposema hawayaweki anamaanisha nini sasa ilhali anaona wadau wanaandika CDM kura kadhaa,CCM kura kadhaa....anataka yawekweje sasa...??
Hamuyaweki hapa kina nani? Kwani hakuna CCM hapa? Wekeni ya kwenu basi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom