Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Kwa trend ilivyo hapa lazima kulikuwa na udhaifu katika kulinda kura, hawa magamba wametoa wapi kura zaidi ya 90?yapo mkuu -Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,
Kwa trend ilivyo hapa lazima kulikuwa na udhaifu katika kulinda kura, hawa magamba wametoa wapi kura zaidi ya 90?yapo mkuu -Kituo kingine Makiba, CHADEMA 23, CCM 95,
Wekeni na matokeo ya vijijini basi...
angalieni itv sasa hivi. wanaonyesha matokeo.
asante kwa tahadhari mkuu niko makini naagalia majinaya vituomkuu kuna mengine yanajirudia rudia, kwani wamekuwa watu tofauti wanapost matokeo hapa!! Unaweza kuta mtu kasikia redio fm, kweka, mwingine kasikia redio fm pia kaweka, hivyo usizubae na matoke ukapoteza muda kujumlisha
pamoja sana mkuu
Maji ya chai mnajipenda kweli???
Usa river inajulikana, mbona hamtuletei vituo vingine? au ndo mnaendelea kutafuta ambavyo cdm imeshina? Havionekani?
Jamaa kakataliwa hata alikozaliwa Akheri: 497' kwa 194
[/QUOTE Matokeo mengi hapa ni ya vijijini tusiwe na wasiwasi.
Maji ya chai mnajipenda kweli???
itv wanatangaza matokeo CDM Wanaongeza vituo vingi
etoangalieni itv sasa hivi. wanaonyesha matokeo.