MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
wewe unataka majibu gani bana? majibu si ndiyo hayo, we kunguru nini?

Asikuumize kichwa huyo mtu tushamzoe mwache kama alivyo,Rejao ebu taja sehemu ambayo ccm ina mtaji tuyaweke matokeo ya awali,kumbuka cuf walikua na mtaji wa kura elfu11 lkn wakadondokea na avatar yako.
 
Kudadadeki niko dar lkn nina raha sana km niko meru, kuona hawa mabwana wadogo wanavyoichanganya hii mipari
 
eeeh kwenye nyekundu nimekubali hapo kunawatu wenye akili timamu!
Wewe hujui hesabu nini ? angalia ratio ya Leganga 146:20 hapo ndio utajua kuwa ratio ya 507:150 cha mtoto ! hata hivyo zote furaha ndugu yangu katika mapamabano
 
Kudadadeki niko dar lkn nina raha sana km niko meru, kuona hawa mabwana wadogo wanavyoichanganya hii mibepari
 
Yeah tunataka kata za vijijini. Huko pia kuna walinzi? Manake kazi ya hapa mjini ni ngumu, huko je?
 
s/m usa river cdm 111,ccm 37
embaseni A cdm 104,ccm 52
leganga sm cdm 146,ccm 20
tengeru chuoni cdm114,ccm 24
tengeru hospt cdm 220,ccm 40
kikuleto ofisini cdm 104,ccm 84
sm leganga cdm 142,ccm 22
magadilisho sm A cdm 116,ccm 37
B cdm 111,ccm 34
majiachai A,B,C,D,E cdm 573,ccm 276
ngwandua(chama,ushirika na mwivaro) cdm 507,ccm 150
usa river sokon 1 na 2 cdm 191,ccm 70
Tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu
 
ngoja kura za mashambani zianze kuingia..plz 2sikimbiane humu..kura za maji ya chai,usa riva hazitupi presha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom