Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,605
- 5,192
wewe unataka majibu gani bana? majibu si ndiyo hayo, we kunguru nini?Matokeo yaliyo positive kwa CCM hamuyaweki hapa!!
wewe unataka majibu gani bana? majibu si ndiyo hayo, we kunguru nini?Matokeo yaliyo positive kwa CCM hamuyaweki hapa!!
dduu leo kazi ipo! Tutadanyanywa sana tuu!mkuu kituo cha kwanza hapo mbona kura zinazidi?
Tuendelee kulinda kura wakuu
hongera cdm more updates please
safi san juu ya hilo
Subirini sarakasi za vijijini, wengi hatutaamini lakini ndiyo upenyo wao uliobaki!!
Mkuu subiri hadi kata zingine zilete matokeo maana huko ndiyo shamba ya ccm!!This time ccm imekula kwao,,
Hapa ukipata ban utamlaum rejao?wewe unataka majibu gani bana? majibu si ndiyo hayo, we kunguru nini?
"Mbuguni CCM 72, CDM 132 wapiga 203, hakuna kura iliyoharibika."
Hebu jumlisha vizuri hapo jumla ni 204!