ngoja nikapumzike kwanza ili nirudi baadaye...
.
Ni hakika mkuu? Kama ni hivyo basi nyota njema huonekana asubuhi.
.
True. Tafadhali msiunganishe angalau kwa leo. Inakuwa rahisi zaidi kufuatilia endapo kila eneo la uchaguzi (yaani Arumeru, Kirumba, Lizabon, Vijibweni, n.k.) yakawa na thread zao zinazojitegemea.
Haki hupewi! Haki unaichukua!
Si unamaanisha ka kuzima gari mlimani halafu mawakala wanaambiwa wasukume linatimkia porini jamaa wanabadilisha masanduku fasta halafu linarudi kuwachukua mawakala huku uchakachuzi umeishafanyika. CDM hakuna kulala ni mapema sana kuanza kumdharau adui. Never rule out CCM kwani wana mbinu 400 za kuiba kura...Lindeni kura hadi dk ya mwisho kale kamchezo ka Igunga kasirudiwe
Katika chaguzi zilizo za haki na ukweli basi kwa mlolongo huu ni dhahiri tungesema kuwa Jamii Forums ina predict Joshua Nassari kuchakuliwa kuwa mbunge mpya wa Arumeru East na CCM kushika nafasi ya pili. Ila kwa kuwa Tanzania kila kitu chawezekana, hawa jamaa wa Tume kwa maelekezo ya CCM watapima upepo wakiona umetulia wanachafua hali ya hewa.
Mi sielewi vizuri ni matokeo ya nini hayo wakuu ?
hii story inanikumbusha igunga.......... watu walianza hiviiiiiiiiiiiii badae ikageuka
the same with my beloved sis (RIP) regia... etc, hizi namba zikitolewa watu wanalegea, wanaishia kukata viuno halafu ndio GAME inaanza kuchezwa
We fa.la nani kakwambia haki yangu ipo central? Umekariri enhe?acha kutuzuga...... hebu nenda central ukachukue haki yako!!:hand: