Mkuu wengine tunatumia mobile na inasumbua sana unapoanza kupost majina ya watu wanaofuatilia hii thread. Kama huna cha kufanya nenda chitchat.
Ndio maana nikawauliza vijijini ni wapi? wasifikiri Meru ni kama Igunga hadi ukatize pori ndipo ufike kijiji kingine.Makiba,Mbuguni,Kikwe huko ndio vijijini na chadema wanaongoza.
mods.....please dont take this as a shout to you..
TUNAOMBA MZIUNGANISHE HIZI THREADS ZA MATOKEO ILI TUWEZE KUFUATILIA VIZURI.
Tukiyaweka tutapata BAN mkuu, ila vituo vingi sasa wanashinda CCM tena kwa tofauti kubwa mno. Hali si nzuri kwa CDM na kuna tetesi baadhi ya viongozi wao hawaonekani.
Hata igunga ilianza hvyo
Peopleeeeeeez!!