Mzee Chayai
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 560
- 1,112
View attachment 3531498
-Haya ni matokeo ya mwisho yaliyovuja katika kituo cha kura cha Tume ya Uchaguzi ya Uganda, The Strong Room
Afisa mmoja katika chumba cha makusanyo aliirekodi na kuivujisha bila kujulikana.
NUP tulishinda, na ndiyo maana H.E Bobi Wine amekataa yale yanayoitwa matokeo yaliyotangazwa na watendaji wa serikali.
Waganda WAKATAA matokeo feki.
Haya ndiyo matokeo halisi. ✊🏽👇🏾👇🏾👇🏾
View: https://youtu.be/GRW5cCWdhdg?si=9CEpsrTZCMM9YK1g
Ndio hoja hii ? Kweli ccm 2030 mtaondoka ama sivyo 2025 itakuwa trela picha kamili 2030.porojo hii inafanana na zile za karne ya16, dah
mtu hata ndevu hanyoi ndio amshinde m7? itakua ni maajabu
Watu milioni kumi wakikukataa hao sio magaidi hapo wewe ndio una shida na pia huwezi kuuwa watu milioni kumi nawewe ukabaki hai na Kwa amani. Utauwawa tu. Imagine Samia anaenda the Hague mwezi wa Tisa Kwa kuuwa watu elfu kumi sembuse milioni kumi TAFAKARI.magaidi hata milioni10 wakipotezwa at once kwenye nchi yenye watu milio70+ ni ahuweni muhimu sana,
iatasaidia mno kurahisisha uatikanaji wa huduma za kijamii kwa wananchi wote na kwa amani zaidi.
ni vizuri dunia nzima kuungana kuyaangamiza magaidi kukote yatakapojichanganya, kwakua hayana faida yoyote ispokua uharibifu tu
Sometime jichetue kidogo usimame na haqi ya Akhee,usiwe kauzu kwa kila jambo. Hata mwanae Mu7 akiandika kwa kuficha jina lake atasema dingi kachemka.porojo hii inafanana na zile za karne ya16, dah
mtu hata ndevu hanyoi ndio amshinde m7? itakua ni maajabu
Nawe unajihesabu kuwa na akili?Uganda ni salama zaidi ikiwa na M7. Tanzania ni salama mara 100 chini ya Uganda ya M7 na ili atokea hapo Tz iridhie anaeingia as its to Burundi.
Hutaki acha.
Mwenye akili atanielewa.
Pazeni sauti kudai Matokeo yenu.
sNawe unajihesabu kuwa na akili?
Kwa hiyo kati yenu, wewe na Samia ni yupi anamzidi mwingine!
Nielewe kitu gani toka kwa mtu duni kama wewe!s
Kama hujaelewa madame haikua kwa ajili yako