Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Katika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi
Mimi nilisoma umbwe miaka flani hivi ile shule imeanza mwaka 1948 ila huwezi amini wakati nasoma ule ukuta wake huwezi gongelea msumari kirahis ilikuwa kwa mbinde sana sijajua sahivi
Mfano leo hii ukiona nyumba inauzwa chanika au chamazi million 15 au 20 fahamu kabisa matofali yaliyotumika kutengenezea hiyo nyumba ni yale yakiguswa tu kidogo na pembe ya kitanda yanaanza kumomonyoka
Na hawa wanaotengeneza wanayatengeneza bila kificho chochote huko mitaani sio sawa kama nchi lazima tuwe na standard bahati mbaya sana hakuna anayejali
Nikiwa rais wa Tanzania
Matofali yanayotengenezwa yatakuwa na standard kubwa na
atakayebainika ametengeneza matofali yenye kiwango kidogo basi atachukuliwa hatua za nidhamu
Na pia kutakuwa na maeneo maalumu ya kutengeneza matofali sio watu wanajichagulia eneo na kuanza kufyatua matofali lazima kutakuwa na utaratibu
www.jamiiforums.com

Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...