Challenge 1 ans = 48Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Challenge 1 ans = 48Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
X= 3x³ - 27 = 0
Real numbers only
Hii ni 1 mkuu
😹😹 nyie ndo mlikuwa mnasugulia wenzenu tunda ya ubuyu ticha wa math akitoa pindi..!!Hiyo ya kwanza jibu ni 20
Hiyo ya pili jibu ni 96
Hiyo ya tatu jibu ni 6.6
Leta picha watu tutafsiri...
Baby...😹😹 nyie ndo mlikuwa mnasugulia wenzenu tunda ya ubuyu ticha wa math akitoa pindi..!!
Weka solution umezipataje? 😹
Rafiki wahi VETA ukaongeze ujuzi 😹
Wahi VETA ukaongeze ujuzi… 😹Jibu la swali la kwanza.
Kiatu=10.
Ndege john=15.
Karanga=2.
10+15×2=50.🤸🤸🤸
13Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
6x - 5 = 3x + 16
3(3)½[1+2+3]/3(3)½
27÷ 9(12-3+6) apply bodmas
X³ - 27 = 0x³ - 27 = 0
Real numbers only
X + X + X = 24.......3x = 24, x = 8