Ndiyo nimeona sasa hivi kumbe .....wengine macho mabovuView attachment 3311517
Genius mwagalie huyo njiwa, kavaa snickers + kabeba box 2 za zabibu sijui
12Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Kumbe equations inakuwa hiviView attachment 3311517
Genius mwagalie huyo njiwa, kavaa snickers + kabeba box 2 za zabibu sijui
Jibu ni 4, kulingana na kanuni ya Magazijuto
Umenichekesha kinoma yaani #bata = ambaruty 😂Jibu swali la pili.
Bata Ambaruty=20.
yai zege=4.
Ndizi=4.
20+4×4=96.🤸🤸🤸💪
Jibu: 3,226.93
Jibu: 0.2 {1/5}
Siyo kweli wewe ndiyo umekosea jibu ni 36.Umembwela na hili
60÷5(1+1(1+1))
60÷5(1+1(2))
60÷5(1+2)
60÷5(3)
60÷15
=4
MAGAZIJUTO
MABANO
GAWANYA
ZIDISHA
JUMLISHA
TOA
Hapana CHIEF, unaanza kwa kuyaondoa mabano; unazidisha kwanza ...Siyo kweli wewe ndiyo umekosea jibu ni 36.
Umekosea kwenye magazijuto hapa
60÷5(3)=60÷5×3=36 unaanza kugawanya kabla ya kuzidisha ...hayo mabano siyo
Umekosea ni kweli una anza kuondoa mabano ila ulichokosea ni kushindwa kujua mabano yamesha kwisha kwa ndani hiyo (3) imesha malizika mabano hapo ndipo ulipo koseaHapana CHIEF, unaanza kwa kuyaondoa mabano; unazidisha kwanza ...
3x=30, x=10 so kila kiatu kimoja thamani yake ni 5Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415