Math challenge

Math challenge

Hizi challenges ungezipa namba, ungekuwa rahisi hata mtu akikwot inaonyesha namba ngapi imekwotiwa.
 
Utazunguuka utarudi kwenye jibu langu
Hapanaa nina uhakika na hili
▪︎viatu = 10( kila kiatu 5)
▪︎njiwa = 5
▪︎kibox cha zabibu = 2 (kila kibox)

■quation ya mwisho
Kiatu kimoja (5) + [njiwa(5)+viatu viwili (10)+vibox viwili vya zabibu(4)]×kibox kimoja cha zabibu

□ 5+(5+10+4)×2=43
 
Back
Top Bottom