Math challenge

Math challenge

Nimekosea 😁😁😁😁 mbona umenipa like kumbe wewe mleta swali ujui jibu 😁😁😁😁
20+3×4=❌
20+4×4=36 jibu sahihi la swali
Hapana like haihusiani na usahihi wa jibu .. Mpaka nikupongeze ndio ujue umepatia
 
Hapa sasa wengine tutakuwa wapenzi wapitaji tu kwenye huu uzi maana naona mapichapicha tu
 
Maumbo
FB_IMG_1745268077862.jpg
 
Back
Top Bottom