Math challenge

Math challenge

Umekosea ni kweli una anza kuondoa mabano ila ulichokosea ni kushindwa kujua mabano yamesha kwisha kwa ndani hiyo (3) imesha malizika mabano hapo ndipo ulipo kosea
Sure, upo sahihi, hiyo 5 haipo ndani ya bano 60÷5(3) ni sawa na 5×3, ingelikuwa 60÷(5(3)) ningekuwa sahihi

👏
 
Sure, upo sahihi, hiyo 5 haipo ndani ya bano 60÷5(3) ni sawa na 5×3, ingelikuwa 60÷(5(3)) ningekuwa sahihi

👏
Kumbe umeelewa nilijua utskuwa ubishi mwanzo mwisho ....mabano ya magazi juto yana husu equation ya ndani ya mabano tu ikisha malizika mabano yanakuwa nje ya kanuni ya magazi juto
 
Umenichekesha kinoma yaani #bata = ambaruty 😂

Mlinganyo wa 1: kila ambaruty mmoja = 20
Mlinganyo wa 2: mayai matatu = 3, yaani kila yai 1 = 1
Mlinganyo wa 3: ndizi sita = 6, yaani kila ndizi 1 = 1
Mlinganyo wa 4: ambaruty = 20, mayai manne = 4, ndizi nne = 4, zingatia alama ya kuzidisha kati ya mayai na ndizi
😂😂hahahaaaaq
 
Kumbe umeelewa nilijua utskuwa ubishi mwanzo mwisho ....mabano ya magazi juto yana husu equation ya ndani ya mabano tu ikisha malizika mabano yanakuwa nje ya kanuni ya magazi juto
Si ndo hapo, nilishachochora, ni wenge 😂 au umri umeshaanza ... 😃
 
FB_IMG_1745277273302.jpg
 
Back
Top Bottom