25Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
25Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Nimekosea 😁😁😁😁 mbona umenipa like kumbe wewe mleta swali ujui jibu 😁😁😁😁
Hapa umenipa like 👍Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
We pia umekosa, rejea mlinganyo wa 3, chunguza kwa makini (njiwa amevaa njumu, ameficha zabibu kwapani, na kuna alama ya kuzidisha na si +)Watu hawajui math jaman😂
Hili jibu 10 + 5 + 4 = 19
Like haihusiani na usahihi wa jibu ndio maana nimeitoa kwa woteNimekosea 😁😁😁😁 mbona umenipa like kumbe wewe mleta swali ujui jibu 😁😁😁😁
20+3×4=❌
20+4×4=36 jibu sahihi la
Hapa umenipa like 👍lala jibu siyo nililo kupa jibu ni ili
5+(5+4)×2=5+9×2=23
Jibu sahihi ni 23
Moja ya furaha kubwa niliyowahi kuipata maishani ni pamoja na siku niliyotoka kwenye chumba cha mtihani wa MATHEMATICS wa kidato cha nne, Ile tu kwamba sitasoma tena hesabu ilinipa furaha ya moyo sanaHahahahahaaaa
30a+a+a = 30
b+b+a = 20
c+c+b = 13
Mwisho unatafuta jibu
a+b×c =
Hapa umenipa like 👍lala jibu siyo nililo kupa jibu ni ili
5+(5+4)×2=5+9×2=23
Jibu sahihi ni 23
Bado kichwa kinacharge charge kidogo😁Uko vizuri
JIBU NI A 9
Vipi tena mbona unamcheka genius uogopiView attachment 3311514
Bado siyo sahihi
Mimi ndiyo nimetoa jibu sahihi peke yanguHii namba moja naona kila mmoja ana jibu lake😀
Vipi tena mbona unamcheka genius uogopi