Mateso ya njuka

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,836
730,292
Mamboyakutesanaunapojoinform1shulezabweni.jpg
 
Mtoto wa kiume kukubali kufanyiwa hivyo bila shaka hata marinda hana
utakuwa umesoma day wewe, miaka ya zamani boarding ni shida nakumbuka kulikuwa na msukuma 1 wa shy aliwahi nipa sent 50 miaka ya 91 milambo tabora nikanunue kipande ki1 cha sabuni, sigara 1 na nimrudishie change yake shs 20, ilibidi nitoe tu pesa yangu nikamnunulie, na usipofanya unaweza ukaacha shule, njuka aisee ilikuwa ni mateso sana
 
Sijasoma day, vipi hakuna aliyetaka umpe rinda? Angetaka pia ungempa ili usiache shule? Unyonge wa kipumbavu huo.....Mimi nimesoma Tosamaganga boys hakuna aliyewahi kunionea kwa namna yoyote
 
Mimi nilisaidiwa na kichwa ngumu kuna siku kidogo tuvuliwe nguo na Form 3 wakague kama tumefanyiwa tohara.
 
Mimi nimesoma Tosa Boys na hakuna aliyefanya upuuzi huo..... But mkuu, kama na wewe ulikuwa ukifanyiwa hivi basi kwishney
Ishu za mateso kwa njuka zilipigwa marufuku mwaka 2003 na serikali. Na ilitangazwa Wakuu wa shule wasiwavumilie wale wote watakao wanyanyasa Njuka. Kama Njombe sec. aka Njoss wengi sana walitimuliwa kwa kuwasumbua Njuka.
 
Sijasoma day, vipi hakuna aliyetaka umpe rinda? Angetaka pia ungempa ili usiache shule? Unyonge wa kipumbavu huo.....Mimi nimesoma Tosamaganga boys hakuna aliyewahi kunionea kwa namna yoyote
utakuwa mtu wa pwani wewe, mambo ya marinda ni pwani huko, bara mambo hayo hawayajui kabisa na miaka ya 90s huko ndio kabisa, basi utakuwa umesoma juzi juzi wakati hiyo hali ilishadhibitiwa,
 
Ishu za mateso kwa njuka zilipigwa marufuku mwaka 2003 na serikali. Na ilitangazwa Wakuu wa shule wasiwavumilie wale wote watakao wanyanyasa Njuka. Kama Njombe sec. aka Njoss wengi sana walitimuliwa kwa kuwasumbua Njuka.
Labda mimi nilisoma kipindi ambacho hakukuwa na mateso...Japo nilisoma 2001.....
 
Back
Top Bottom