Wewe Tupo Sawa hata Mimi nilikuwa prmary arusha baada YA hapo nikaelekea Moshi tech..Enzi za umitashumta nipo Primary
Yeah, hiyo ya kuibiwa sana tu.....Mimi binafsi uniform zangu nilivaa kama wiki mbili tu za mwanzo...Wewe Tupo Sawa hata Mimi nilikuwa prmary arusha baada YA hapo nikaelekea Moshi tech..
Mambo ya njuka ya likuwepo Ila yalikuwa yamepungua Sana, kilichotuumiza sisi ni kuibiwa na kubadilishiwa sare. Mzinga ulivunjwa watu wanaiba hadi sukari, pesa ndio usiseme
Kweli kabisa ndugu hawa watu wamesoma day school. Geita (GESECO) nikiwa form one nilikuwa nafua hadi nguo za maninja.Hujasoma Boarding wewe! Mnasoma hizi Shule za kushindia chips hizi hukutani na mateso ya njuka!
Boarding nimesoma man.. na niseme ni kweli hivi vitu viko. Lakin sasa ukiona mtu yuko hivyo.. huko alikotoka hana mentallity ya kujiaminiHujasoma Boarding wewe! Mnasoma hizi Shule za kushindia chips hizi hukutani na mateso ya njuka!
Binadamu tunatofautiana sana malezi, mtu hajakutukana ushamuita kila jina baya pasipo hata sababu za maana. Anyway unahisi umeongeza nini kwa matusi hayo?Sijasoma day, vipi hakuna aliyetaka umpe rinda? Angetaka pia ungempa ili usiache shule? Unyonge wa kipumbavu huo.....Mimi nimesoma Tosamaganga boys hakuna aliyewahi kunionea kwa namna yoyote
Wapi nilipotukana na wewe mbona unaingilia yasiyokuhusu? Kusema unyonge huo ni upumbavu nazungumzia hiyo picha, na niliyemuuliza ameshajibu nimemalizana naye acha kuingilia yasiyokuhusu mkuuBinadamu tunatofautiana sana malezi, mtu hajakutukana ushamuita kila jina baya pasipo hata sababu za maana. Anyway unahisi umeongeza nini kwa matusi hayo?
Poa mkuuWapi nilipotukana na wewe mbona unaingilia yasiyokuhusu? Kusema unyonge huo ni upumbavu nazungumzia hiyo picha, na niliyemuuliza ameshajibu nimemalizana naye acha kuingilia yasiyokuhusu mkuu
wewe wa juzi sana, watu walikuwa wanakula henzirani ile hatari kuna shule kama Mara Sec, Musoma Tech, Milambo, zilikuwa ni balaa kwa kuwapa njuka kichapoMimi nimesoma Tosa Boys na hakuna aliyefanya upuuzi huo..... But mkuu, kama na wewe ulikuwa ukifanyiwa hivi basi kwishney
Basi ilikuwa hatari sana....Mimi wangeniua tu nadhaniwewe wa juzi sana, watu walikuwa wanakula henzirani ile hatari kuna shule kama Mara Sec, Musoma Tech, Milambo, zilikuwa ni balaa kwa kuwapa njuka kichapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]utakuwa umesoma day wewe, miaka ya zamani boarding ni shida nakumbuka kulikuwa na msukuma 1 wa shy aliwahi nipa sent 50 miaka ya 91 milambo tabora nikanunue kipande ki1 cha sabuni, sigara 1 na nimrudishie change yake shs 20, ilibidi nitoe tu pesa yangu nikamnunulie, na usipofanya unaweza ukaacha shule, njuka aisee ilikuwa ni mateso sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi nimesoma Tosa Boys na hakuna aliyefanya upuuzi huo..... But mkuu, kama na wewe ulikuwa ukifanyiwa hivi basi kwishney
Hata boarding za siku hizi hayo mambo hakuna tena, ilikuwa zamani.Hujasoma Boarding wewe! Mnasoma hizi Shule za kushindia chips hizi hukutani na mateso ya njuka!