Matendo yako ndio rafiki yako wa kweli

Matendo yako ndio rafiki yako wa kweli

Kauli hizi haziwezi kuharibu nchi sema sisi Watanzania tumechoka kuvumiliana maana kauli kama hizi zilikuwepo tokea enzi za Mwalimu lakini waTanzania walikuwa wavumilivu. Sasa kwa kuwa umaskini umekithiri na ubabaishaji ni mwingi sana ndo maana hata leo mtu akitukanwa tusi dogo tu inakuwa big news kwa kuwa waTanzania tumekuwa watu wa vijiweni na watu wa kunywa gahawa kama waswahili

Ndiyo maana nikasema tunapita kipindi kigumu hivyo tunahitaji kuwa waangalifu sana na tukisemacho kwa sababu kama usemavyo uvumilivu wetu umekuwa ziro!!!
 
mbona hamna jeneza na msalaba au ndio wale wazikao kama mzoga na wanataka wakati wakuchi n j_ wafanye ibada!!

Hizi ndiyo akili zako zilipoishia katika kutafaari, akili za namna hii nazifananisha na akili zinamtosha mtu kuvuka reli tu, barabarani lazima ugongwe!!!
 
Dahh Mkuu una Akili kweli!!!!!!!!
Ila huwa unanishangaza pale unapokubali eti Mkojo (Shahawa) za Mume na Mke zikikutana ndo Chanzo Chako aaaaaah Bora kutokana na Minyani
mii sijui binadamu anatokana na nini ninachojua hutoka tumboni kwa mama
 
mtu unaonekana kabisa umefukiwa chini ila watakuja watu wenye mikwara watakwambia eti kuna kwenda mbimguni na treni gani?ukiuliza nini wamefundishwa na imani zao za kigeni ambazo wako karibu kutoana roho kwazo.yote kwa yote kifo kiboko cha mwanadamu

Hizo imani zetu zimetufundisha mengi ikiwa pamoja na kwa mfano baba na mama waowane ili upatikane uje kuwa jeuri kwa mola wako, mbona hilo huliiulizi kwa wazee wetu kwanini wamekubali kufanya kitu ambacho wameelezwa tu?
 
Jeneza au msalaba halikurudishi duniani kufa ni kufa na kuoza utaoza, regardless.

Kwanini humueleweshi kuwa jeneza hutumika kumfikisha hapo makaburini na alipokuja duniani wanasema wao wenyewe kuwa aliumbwa kwa mchanga na atarudi kwa mchanga basi hilo wanalofanya hao anaowabeza ni karibu zaidi na mchanga kuliko kuwekwa humo anamoona yy kuwa ni lazima! Kila imani ina haki na imani yake na huenda hao anaowabeza wanaona mambo ya imani ya wengine ni upuuzi. Bora ni kuheshimiana tu!
 
mtu unaonekana kabisa umefukiwa chini ila watakuja watu wenye mikwara watakwambia eti kuna kwenda mbimguni na treni gani?ukiuliza nini wamefundishwa na imani zao za kigeni ambazo wako karibu kutoana roho kwazo.yote kwa yote kifo kiboko cha mwanadamu

Imani ni kitu ambacho ni kigumu kueleza kama umeshafikia hapa..........bora tu upitea lol
 
Nani alikuambia YESU alizikwa? Mwili ulihifadhiwa ule tena na sanda ya bei ghali. Siku ya tatu akafufuka kutoka kwa wafu, Ameketi mkono wa kuume wa BABA, kutoka huko atakuja kuwahukumu wenye haki na wasio haki. Siku inakuja.

Huu ni ushabiki wa kibubusa wa kiimani na fikra potevu.Unakubali kuwa yesu alivikwa sanda ila heti ni ya gharama.dah!!halaf unasema pale alihifadhiwa tu,mkuu hata hueleweki hebu pitia vizur maandiko sio kuleta ukariri wako.kama vp basi tukubaliane tu ya kwamba Yesu alihifadhiwa kwenye kaburi kwa sanda ya gharama,maana ndo unavyotaka.
 
Aksante kwa makubaliano Mkuu, btw mimi sio shabiki ni mfuasi.
 
Imani ni kitu ambacho ni kigumu kueleza kama umeshafikia hapa..........bora tu upitea lol
ugumu husababishwa na ujinga na kutokutumia macho na akili tuliyopewana mungu vizzuri,mimi sipiti sababu mara nyingi imani zimejaa mikwala na vitu vya ajabu ajabu.niliwahi kusoma historia ya kipindi cha utumwa pale ambapo wazungu walikuwa wakitaka kuwanyonga waafrika wamisionari walikuja na kuwataka wakubali kubatizwa ili wafe wakiwa wamebatizwa ni simulizi hizi ndizo zinanifanya nichukukie huu ukoloni.hizi imani mbili ni wakala wa ukoloni na sasa kwa kuonesha kwamba hazina mkono wa mungu sasa zinatusambaratishia taifa.vitu vimuusuvyo mungu havinaga utata.imani njema
 
Hizo imani zetu zimetufundisha mengi ikiwa pamoja na kwa mfano baba na mama waowane ili upatikane uje kuwa jeuri kwa mola wako, mbona hilo huliiulizi kwa wazee wetu kwanini wamekubali kufanya kitu ambacho wameelezwa tu?
kwa hiyo wewe unahisi wazazi wetu kwa maana ya mababu walikuwa na huu uislam na ukristo?huu ulikuja na ukoloni lakini kabla yake si walikuwa na imani zao na ndio maana nasema sisi ni watumwa wa kila kitu.vipi kipindi walipokuwa wanaabudu mizimu.
 
ugumu husababishwa na ujinga na kutokutumia macho na akili tuliyopewana mungu vizzuri,mimi sipiti sababu mara nyingi imani zimejaa mikwala na vitu vya ajabu ajabu.niliwahi kusoma historia ya kipindi cha utumwa pale ambapo wazungu walikuwa wakitaka kuwanyonga waafrika wamisionari walikuja na kuwataka wakubali kubatizwa ili wafe wakiwa wamebatizwa ni simulizi hizi ndizo zinanifanya nichukukie huu ukoloni.hizi imani mbili ni wakala wa ukoloni na sasa kwa kuonesha kwamba hazina mkono wa mungu sasa zinatusambaratishia taifa.vitu vimuusuvyo mungu havinaga utata.imani njema

Kumbe bado unaamini kuna mungu.....hebu nieleze hizo dini za mwanzo ni zipi na ilikuwaje zikapotea?
 
zile hazikuwa dini ila ni tamaduni za wazee wetu wa kale,kama ambavyo ulivyo uislam kwa waarabu na ukristo kwa wazungu.kitu kinachonifanya niamini uwepo wa mungu ni kifo tu kwa sababu hakijali mchawi,mwema,mwenye mamlaka,tajiri na kila binadamu.zilipotea kwa kupigwa vita huku imani nyingine zikipenyezwa kwa hiyari au kwa nguvu na au hata hila.mfano ni kwa uislamu sasa kuhusishwa na ugaidi kumbe lengo ni kuua tu.
 
kwa hiyo wewe unahisi wazazi wetu kwa maana ya mababu walikuwa na huu uislam na ukristo?huu ulikuja na ukoloni lakini kabla yake si walikuwa na imani zao na ndio maana nasema sisi ni watumwa wa kila kitu.vipi kipindi walipokuwa wanaabudu mizimu.

Yaani utumwa unaujuwa kwenye dini tu. Hivyo hao mababu zako walikvaa kama wewe? Sijui unaweza kuniambia mambo mangapi tunayoyatumia sasa ambayo hayakuja na hao wageni(hapo zamani wakiitwa wakoloni)? Utumwa huo unakuja kwa dini tu au vipi?
Unajisahau kuwa hapa tulipo ni watu tunaoiga na kuiga na kujazwa nadharia baada ya nadharia ambazo hazikuwepo na wazee wetu na kwa maneno yako ni utumwa mkubwa. Sasa utumwa usioupenda huu wa dini tu , kula , kuvaa, kufikiri na mengi utumwa huo huuoni.
 
ni kwa sababu utumwa wa kidini unataka kutuvuruga kijamii,na na kama taifa,kwamba utumwa huu upo tayari kukiangamiza kizazi na tunaupigania kupita kiasi.nawatakia kukatana mapanga kwema kwa kugombea kuchinja nyama huu uroho utawaua na dini zenu za kitumwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom