Matendo yako ndio rafiki yako wa kweli

Matendo yako ndio rafiki yako wa kweli

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,441
Reaction score
166,901
602225_576006202426894_556034595_n.jpg
 
mtu unaonekana kabisa umefukiwa chini ila watakuja watu wenye mikwara watakwambia eti kuna kwenda mbimguni na treni gani?ukiuliza nini wamefundishwa na imani zao za kigeni ambazo wako karibu kutoana roho kwazo.yote kwa yote kifo kiboko cha mwanadamu
 
Unapata nini wewe kilaza kwa kubeza imani za wenzako? hakika kauli hizi ndizo zituharibiazo nchi!!!

Wewe unahoma kali sana! mtu kuuliza mbona hamna jeneza wala msalaba, ndio nchi iharibike!!!
Unatakiwa kumwelekeza tu kuwa kuzikwa sio lazima kuwe na hivyo vitu kwani kuna imani nyingi tu, na wengine hawana imani kabisa!
 
Kifo bwana, acha tu. Mbwembwe zoote hizi, hapo ndio jeuri yetu kwisha.
 
Wewe unahoma kali sana! mtu kuuliza mbona hamna jeneza wala msalaba, ndio nchi iharibike!!!
Unatakiwa kumwelekeza tu kuwa kuzikwa sio lazima kuwe na hivyo vitu kwani kuna imani nyingi tu, na wengine hawana imani kabisa!

Kila mtu ana uelewa tofauti, kutokana na uelewa wangu mdogo niliona maneno "au ndio wale wazikao kama mzoga na wanataka wakati wa kuchinja wafanye ibada" kama sio maneno sahihi kusemwa katika kipindi hiki kigumu tupitacho. Kwa kuwa mwenzangu unaona maneno hayo hayana madhara sina la kuongeza.
 
Pamoja tutafika tu.....
 
Huzuni na hivi nimetika kuskia habari za msiba? Kinachosikitisha zaidi sku hiz hata vjana wadogo wanakufa! Jina la bwana lihimidiwe!
 
ama kweli wazungu walishawaharibu akili...Ivi kuna umaarufu gani kuzikwa uku umevaa suti tena ya bei Mbaya? kuna umaana gani ya kuzikwa na Jeneza? ni mara mia wakavitumia wanaobaki kuliko kuvifukia chini ili vioze...Hivi YESU alizikwa na Suti au sanda?
 
mtu unaonekana kabisa umefukiwa chini ila watakuja watu wenye mikwara watakwambia eti kuna kwenda mbimguni na treni gani?ukiuliza nini wamefundishwa na imani zao za kigeni ambazo wako karibu kutoana roho kwazo.yote kwa yote kifo kiboko cha mwanadamu

Dahh Mkuu una Akili kweli!!!!!!!!
Ila huwa unanishangaza pale unapokubali eti Mkojo (Shahawa) za Mume na Mke zikikutana ndo Chanzo Chako aaaaaah Bora kutokana na Minyani
 
ama kweli wazungu walishawaharibu akili...Ivi kuna umaarufu gani kuzikwa uku umevaa suti tena ya bei Mbaya? kuna umaana gani ya kuzikwa na Jeneza? ni mara mia wakavitumia wanaobaki kuliko kuvifukia chini ili vioze...Hivi YESU alizikwa na Suti au sanda?
Nani alikuambia YESU alizikwa? Mwili ulihifadhiwa ule tena na sanda ya bei ghali. Siku ya tatu akafufuka kutoka kwa wafu, Ameketi mkono wa kuume wa BABA, kutoka huko atakuja kuwahukumu wenye haki na wasio haki. Siku inakuja.
 
Unapata nini wewe kilaza kwa kubeza imani za wenzako? hakika kauli hizi ndizo zituharibiazo nchi!!!

Kauli hizi haziwezi kuharibu nchi sema sisi Watanzania tumechoka kuvumiliana maana kauli kama hizi zilikuwepo tokea enzi za Mwalimu lakini waTanzania walikuwa wavumilivu. Sasa kwa kuwa umaskini umekithiri na ubabaishaji ni mwingi sana ndo maana hata leo mtu akitukanwa tusi dogo tu inakuwa big news kwa kuwa waTanzania tumekuwa watu wa vijiweni na watu wa kunywa gahawa kama waswahili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom