ni kwa sababu utumwa wa kidini unataka kutuvuruga kijamii,na na kama taifa,kwamba utumwa huu upo tayari kukiangamiza kizazi na tunaupigania kupita kiasi.nawatakia kukatana mapanga kwema kwa kugombea kuchinja nyama huu uroho utawaua na dini zenu za kitumwa.
Nafikiri kuna utumwa mwingi ambao unatuvuruga kuliko dini! Tukianzia na siasa kuna watu tele ni maaduwi wa umoja wetu lakini hili hulioni. Iwapo kutoridhika na hali fulani unakuuita ni kuhatarisha umoja wetu jee unawaweka wapi viongozi wa siasa hasa wa upinzani ambao hutowa kauli za vitisho na kuwashajiisha watu kutofuata utawala wa sheria?
Tafadhali usiniletee masuala ya haki, uonevu, ufisadi na mengine yote ambayo wapinzani wanayatumia kutuondolea hali ya ujinga wa kuonewa. Iwapo unafikiri kuwa hali katika taifa hili iendelee kama ilivyyo hata kama kuna uonevu , kunyimwa haki na maonevu mengine kwa kisingizio kuwa tutavunja uzoefu wetu"amani" basi nahisi usichaguwe.
Fahamu tu kuwa migogoro inakuja pale mjinga anapoanza kuerevuka na mwerevu anapokataa kutambuwa kuwa ipo haja ya mabadiliko. Kwa ufupi iwapo tunataka Taifa letu liwe na Amani kwa vile wajinga wameshaerevuka, basi tukae pamoja na kuyajadili yale yanayosababisha kutoelewa na hayo yasiwe kwa siasa tu bali dini, elimu na mengineyo.