Matatizo ya Figo kuongezeka chanzo ni nini?

Matatizo ya Figo kuongezeka chanzo ni nini?

Haya mambo ni magumu kuyafafanua babu zetu chakula chao kikuu kilikuwa nyama na waliishi miaka mingi.

Kuna ndugu zetu huko vijij wanakunywa pombe daily, tena wanachanganya za viwandani na kienyeji lakini wengi wanafika hadi miaka 80-90 hawajawi pata magonjwa kama hayo ya figo wala moyo.

Pamoja na kula hivi hivi vyakula na vinywaji hivi tunavyovijua ukiwa na kipato kizuri uhakika wa kuishi ni zaidi ya 70 yrs.
 
Kwahiyo ninatakiwa kunywa litre 10 kwakua nina kilo 100
Mkuu kwani Mimi nimetoa kiwango kwamba ukiwa na KG let say 10 unatakiwa unywe lita 10??? .Maji Haya ya viwandani kwenye packages zao huwa wameweka viwango,hats hivyo kuna international standards.
 
Hayo ma energy,ukipiga hadi heart beat hua zina change kabisa!! Ni hatari sana,sasa vijana hua wana mix na k vant aiseeee!!!
Ni kusema mafanikio wanayoyapata ndo yanayowauwa,coz kama siyo kupata vijisent hakuna angekunywa energy au Kvant au hata hizi soda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Red meat ni tatizo alichosema ni kuwa Marekani ulaji wao mkubwa ni nguruwe.
Hukumuelewa.

Kasema utafiti umefanyika Singapore. Hajasema chochote kuhusu Marekani. Na Marekani hawali nguruwe kuliko beef. Wanaosema red meat ni mbaya waje wafanye utafiti kwa Wamasai.
 
Unatakiwa kunywa maji kulingana na uzito wako,shehe
Wataalamu wanashauri ili kunywa maji kulingana na uzito wako, chukua constant figure 0.04 zidisha na uzito utapata kiasi cha ujazo wa maji kwa lita kunywa kwa siku moja. Kwa mfano kama una uzito wa kilo 100, unapashwa kunywa lita 4 kwa siku, yaani(0.04 x 100)=4 litres
 
Haya mambo ni magumu kuyafafanua babu zetu chakula chao kikuu kilikuwa nyama na waliishi miaka mingi.

Kuna ndugu zetu huko vijij wanakunywa pombe daily, tena wanachanganya za viwandani na kienyeji lakini wengi wanafika hadi miaka 80-90 hawajawi pata magonjwa kama hayo ya figo wala moyo.

Pamoja na kula hivi hivi vyakula na vinywaji hivi tunavyovijua ukiwa na kipato kizuri uhakika wa kuishi ni zaidi ya 70 yrs.
Natural food, watu wa.vijijinj wanakula vyakula visivyo na chemically kama wa mjini, haviwi processed ni toka shambani mwenye sufuria au chungu, hakuna fridge, maji ya baridi wao ni maji ya uvuguvugu tu toka mwenye mtungi, hakuna chlorine kwenye maji, nyanya za mjini zinapigwa dawa asubuhi mchana ziko sokoni hile dawa bado iko kwenye nyanya unaunga mwenye mboga na hiyo sumu lazima Figo zizidiwe kuchuja sumu , unga wa sembe badala ya dona, mutama ,uwele etc. Kuku wa kisasa, mayai ya kisasa , Chip's mayai mafuta kwa wingi jumlisha na pombe za kila aina hapo hutoboi.
 
Tatizo siyo red meat per se bali ni aina ya hizo red meat. Nyama za wenzetu siyo sawa na hizi za kienyeji za kwetu, nyama zao zina pigwa madawa kuanzia mnyama anapozaliwa mpaka anachinjwa, na ndiyo sababu ya hizo complications.
 
Haya mambo ni magumu kuyafafanua babu zetu chakula chao kikuu kilikuwa nyama na waliishi miaka mingi.

Kuna ndugu zetu huko vijij wanakunywa pombe daily, tena wanachanganya za viwandani na kienyeji lakini wengi wanafika hadi miaka 80-90 hawajawi pata magonjwa kama hayo ya figo wala moyo.

Pamoja na kula hivi hivi vyakula na vinywaji hivi tunavyovijua ukiwa na kipato kizuri uhakika wa kuishi ni zaidi ya 70 yrs.
Kikubwa mazoezi. Maana wakijijini unakuta anafanya shughuli mbalimbali zakutumia nguvu na pia anatembea kwa miguu. Mjini ni gari na maofisini. Full kukaa sku nzima
 
Chezea kati ya 2-3 liters,
Nasema hivyo sababu Body size, Physical works, Environment and weather matters.

Mimi nakunywa 4-5 liters kwa siku. Kwa hio najitafutia ugonjwa wa figo?
 
Back
Top Bottom