reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,661
- 20,995
Kujua kama unatesa figo kwa maji mengi ni pale unapotoa mkojo ambao almost ni maji au kujoa mara kwa maraMimi nakunywa 4-5 liters kwa siku. Kwa hio najitafutia ugonjwa wa figo?
Kujua kama unatesa figo kwa maji mengi ni pale unapotoa mkojo ambao almost ni maji au kujoa mara kwa maraMimi nakunywa 4-5 liters kwa siku. Kwa hio najitafutia ugonjwa wa figo?
Nadhani to be precise, kunywa maji unapokua na kiu tu.Sidhani kama unaweza kaa siku nzima bila kuwa na kiu ya maji.Mimi nakunywa 4-5 liters kwa siku. Kwa hio najitafutia ugonjwa wa figo?
Ancestors wetu waliishi kwa kula hzo nyama...Ulaji wa nyama nyekundu kupita kiasi unachangia.
Ni kwel kabisa mkuu...hawajui wanafanya imbalance ya electrolytes kwenye mwili ambacho si kitu kizur kwa afya ya figo.Pia punguzeni kutumia madawa ya asili msiyoyaelewa elewa.
Mtu unakunywa madawa ya kuharisha ili upungue mwili,unaharisha siku 2 mfululizo non-stop(mpk maji yanaisha mwilini) na unadhani ni sifa?tena unakunywa hizo dawa kila baada ya miezi 3.
My friend in long run jiandae kwa figo yako kupata matatizo tu.
Alisikika mlevi mmoja akiongea wkt akitoka kilabuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na anaenda kwenye show anakamua vi3..Hizi energy wanazokunywa vijana zinaua sana figo.
Zimeandikwa usinywe Zaid ya mbili kwa siku,
Ila kijana anapiga SITA afu anajiona mjanja.
Wengine wanazichanganya na K-VANT kabisa,
Apo Unategemea Nini Sasa?
Ukiwa una kula hovyo na kunywa hovyo halaf huna physical activities za kutosha tegemea magonjwa kama hayo..wale wa kijijin hawatumii boda boda bajaja wala gar na wanalima kila siku...Haya mambo ni magumu kuyafafanua babu zetu chakula chao kikuu kilikuwa nyama na waliishi miaka mingi.
Kuna ndugu zetu huko vijij wanakunywa pombe daily, tena wanachanganya za viwandani na kienyeji lakini wengi wanafika hadi miaka 80-90 hawajawi pata magonjwa kama hayo ya figo wala moyo.
Pamoja na kula hivi hivi vyakula na vinywaji hivi tunavyovijua ukiwa na kipato kizuri uhakika wa kuishi ni zaidi ya 70 yrs.
Sasa nyama za Sasa hivi hao ng'ombe wanachomwa madawa Kama kuku chotara tuHaya mambo ni magumu kuyafafanua babu zetu chakula chao kikuu kilikuwa nyama na waliishi miaka mingi.
Kuna ndugu zetu huko vijij wanakunywa pombe daily, tena wanachanganya za viwandani na kienyeji lakini wengi wanafika hadi miaka 80-90 hawajawi pata magonjwa kama hayo ya figo wala moyo.
Pamoja na kula hivi hivi vyakula na vinywaji hivi tunavyovijua ukiwa na kipato kizuri uhakika wa kuishi ni zaidi ya 70 yrs.
Hapo ndo nmekuelewa,maji litter 3 yanakaajeNadhani to be precise, kunywa maji unapokua na kiu tu.Sidhani kama unaweza kaa siku nzima bila kuwa na kiu ya maji.
Mkuu umenena vema, wagonjwa wengi hasa wa Kisukari wamekuwa wahanga wa hizi dawa za kienyeji kali, unakuta mtu anapewa madawa ya kienyeji anywe dumu zima la lita 5 kila siku, hapo lazima atapata shida ya figoPia punguzeni kutumia madawa ya asili msiyoyaelewa elewa.
Mtu unakunywa madawa ya kuharisha ili upungue mwili,unaharisha siku 2 mfululizo non-stop(mpk maji yanaisha mwilini) na unadhani ni sifa?tena unakunywa hizo dawa kila baada ya miezi 3.
My friend in long run jiandae kwa figo yako kupata matatizo tu.
Alisikika mlevi mmoja akiongea wkt akitoka kilabuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah tumekwishaAcute Kidney Failure: Symptoms, Causes, Treatment, Prevention
Acute kidney failure happens when your kidneys suddenly stop working. Learn the symptoms, causes, and treatments for this serious medical condition.www.webmd.com
Ndiyo
Lita mbili?..!!mie hapa nina siku tatu sijanywa hata kikombe cha maji,,Chezea kati ya 2-3 liters,
Nasema hivyo sababu Body size, Physical works, Environment and weather matters.
Kiasi cha maji unachokunywa nafikiri kinategemeana na uzito wako.Sasa tunywe maji kiasi gani tusinywe kiasi gani?
Fafanueni jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli,
wamasai wote wangekua washaugua FIGO
wale kinawasaidia zile kazi za nguvu sisi boda boda mpaka mlangoni kwako.Haya mambo ni magumu kuyafafanua babu zetu chakula chao kikuu kilikuwa nyama na waliishi miaka mingi.