Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,913
- 70,668
Jina gani tena hebu ninong'oneze mmenipa raha sana leo maana nasemaga peke yangu tu utamu wa hivi vibamia sasa nimekutana na walaji wengine uwiiiiiiii....
Uhh wee anaanzaje kukimbilia beseni aache mdomo wa chupa hilo jina hapo juu linamaana[emoji23][emoji23]
Cc Kingsmann