Matapeli wa simu mtandaoni

BULICHEKA Mgagagigikoko,huu utapeli wa aina hii uliisha expire,wewe umepigwaje.Ndiyo maana hakuna anayekuonea huruma.Umetumia jina zuri tuliosoma hicho kitabu tunamkumbuka vizuri sana Bulicheka.
 
nawew bhna mkubwa mzima hii 2020 bado unaibiwa kwa kupigiwa cm ya muamala uliokosewa.. Elimu zote zitolewazo na juu ya hao watu ila bado
 
Nyie ndo mnasababisha hao jamaa wasikome kutusumubua na meseji zao za kitapeli kumbe huwa wanafanikiwa!!?,
Huwa wanafanya 'trial and error'. Akijaribu hata kwa watu 20, akimpata mmoja tayari 'imemlipa'.
 
Mtu mwenyewe nimeshajishia unataka kunitwanga sawa una hamu ya sembe ya buree.
 
Kweli Ni aibu aibu, zipo Uzi nyingi Sana za kutapeliwa hum jf. Wengi wanatapeluwa kwa akili kubwa Sana .

Sasa wewe umeibiwa kizamani sana.Maana yake jf hajakusaidia kabisa

Yote kwa yote pole Sana.Tumia jf Kama long life learning hutajutia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa mdada nini kijana ukataka uplay gentle[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23]
 

Pole Sana Mkuu. Uzembe wa kiasi hiki uko nje ya uwezo wa TCRA.

Tofauti na matumizi ya simu ambayo umewapata TCRA wa kuwalalamikia, jiandae kuna mengine yasiyohusisha simu yanakuja.

Jitahidi siku nyingine akili inayopaswa kukutia hasara angalau iwe kubwa.

Tofauti na hapo, jiandae kushindana na Mshana Jr kwa threads nyingi Jf.
 
binafsi nawajua watu wazima wana zaidi ya miaka 50 walitapeliwa na hawa jamaa.

mkuu una miaka mingapi
 
Pole sana ndugu kwa huo mkasa. Ila wakati mwingine kuwa makini na usimuamini mtu yeyote yule kwenye Mambo ya pesa hasa kwenye simu.
 
Laana hii utalipa garama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee San, but siku nyingine kuwa makini lol.
 
Kuna mambo mawili nayaona hapa.
1.Umetapeliwa kibwege kwelikweli na hapa nakupa pole yako.

2.Swali lako kwa TCRA,hapa naungana na wewe.Inatakiwa watoe majibu,mbwembwe zote zile za kusajili kwa alama za vidole kwamba Sasa matapeli watafute kazi nyingine za kufanya zimeishia wapi?
 
Si ungemwambia apige simu Tigo
 
Ila mwenzetu kama waweza tapeliwa na hawa kirahisi hivyo basi mwenzetu una matatizo, kwanza ripoti polisi, pia nenda TCRA...Mwisho tafadhali jifunze na funza wengine wasiingie kwenye huo utapeli wa kijinga....
POLE SANA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…