Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,448
- 10,765
RAFIKI nimeona link na nimeisoma hadi mwisho,kilichonichanganya ni kuwa nimetoka kuweka fedha kwa ajili ya luku hapo hapo inaingia msg nyingine mbili tofauti sekunde haijapita napata simu. Mambo yameniharibikia hapo lakufanya sina ila deni nimelivaa bila ya sababu.MUNGU ANAWAONA LAKINI.Pole sana angalia huu uzi wangu uone kosa lako lilipo.Nami nilipata jaribu kama lako japo yawezekana nilikuwa makini zaidi.
TCRA, hawa wa kuliza watu bado wapo, mmewachukulia hatua gani?[/URL8]
[emoji23][emoji23][emoji23]..Yaani ametapeliwa kishamba sanaZamani nilikuwa najua sisi humu jamii forum tukipewa nchii hii tunaweza tukaiongoza kumbe bado kuna wajinga
Tena kama tigo inakua herufi kubwa zote TIGOPESA.Hata haja ya kucheki balance haikuwepo.Message za miamala kwenye simu yako zinaingia kwa jina la M-pesa,Tigopesa,AirtelMoney n.k.Ila mtu akikufanyia huu mchezo hiyo SMS ya muamala itaingia kwa namba ngeni kwenye simu yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] akili inahamiaga matakoniNawajua ndugu zangu takribani wa 3 hivi wametapeliwa kwa njia hizo hadi nikawa nashangaa inakuwaje watu wanapigwa kizimbe hivi!
Tena mtu akisikia kiasi fulani utachukua kwa usumbufu tulio kupa akili inaaruka kabisa!
...hahahaaHivi bado kuna watu wanatapeliwa kwa njia hii pole..
Kuna mmoja alinipigia kuniambia habari kama hizo nikamjibu mbona tunafanya kazi moja halafu tunaingiliana magepu inamaana tumeanza kupigana wenyewe kwa wenyewe na wakati tunafanya kazi moja akacheka akanijibu ah! Sikujua tunawapata watu wengi tofauti basi twendelee kupiga kazi inakawa imeisha hiyo!
Mkuu kushukuru kwa pole yako.Wakati mwingine akili inasimama kufanya kazi. Juzi juzi tu nilimwokoa wife na matapeli wa tuma ten upate one hundred, Leo nimeyavaa mwenyewe. Sawa tu MUNGU ANAWAONA, NAMSHITAKIA YEYE .Tena kama tigo inakua herufi kubwa zote TIGOPESA.
Kwanza siku hizi ukikosea kutuma hela unapiga customer care wanairudisha wenyewe.
Anyway pole sana BULICHEKA 2o2o next time naamini utakua makini
Nipo Dar toka 1980 July simu nimeanza tumia wakati wa Buzz line 20 thou makao makuu pale majani ya chai umri wangu ni over 60yrs. Wewe je town umekuja lini? Refrain from excessive talk to whom you have never met.Umekuja mjini lini na una muda gani toka uanze kumiliki simu? Na wasiwasi huenda wewe ni moja wa matapeli mitandaoni.
We na ukubwa wako wote bado unatapeliwa kizaman hivo, kama amekosea si ungemwambia airudishe sio ww kumtumia.