Matapeli wa Madini Mwenge, kuweni makini

Status
Not open for further replies.
We dada inaonekana ni wa mkoani.huwez tapeliwa kibashite namna hiyo
 
Ni kuhusu sred zako mbili naona zinakinzana au mimi sikuzielewa inagawa zilinisisimua sana Mkuu. Kukuteka hadi Paul Christian apatikane huko Tabora kwani alitumia cheti cha Bashite
Zinakinzana ipi na ipi Mkuu?

Hayo ni maisha yangu halisi kabisa. Maisha ya kwanza ya kulelewa na dada. Thread ya pili ni kuhusu harakati zangu nilipokuwa Morani.

Nini ambacho hujakielewa Mkuu? Nipo tayari kukusimulia vyema.
 
Zinakinzana ipi na ipi Mkuu?

Hayo ni maisha yangu halisi kabisa. Maisha ya kwanza ya kulelewa na dada. Thread ya pili ni kuhusu harakati zangu nilipokuwa Morani.

Nini ambacho hujakielewa Mkuu? Nipo tayari kukusimulia vyema.
Wakati ukiwa shule ulikuwa Mbeya na khali ambayo siyo. Ila katika ile ya uso kwa uso na simba ulikuwa umasaini kama morani. Hapo sikuelewa na inavyoonekana ulikuwa unasaidiwa na yule mzee (mwenyezi Mungu amjalie) ila mlikuwa na ng'ombe umasaini. Kidogo naomba ufafanuzi kama sitakuwa nakukwaza mkuu
 
Mkuu sijawahi kusoma wala kukaa Mbeya. Kwetu sisi ni KLM, lakini dada yangu aliolewa Arusha (umasaini).

Hakuna sehemu ambapo.nimesema nimekaa Mbeya Mkuu, ama vinginevyo sijakuelewa.

Alafu lile tukio la Simba, nilikuwa nimetoka tu shuleni na kwenda uhamishoni baada ya siku moja na ndipo masaibu yalipotokea.
 
Matapeli wengi wa kupiga pesa ndefu huwa wanatumia mizizi. Ukijibu tu hata salamu(kuongea nao), umejiharibia mana kizizi kimeshanasa. Fahamu zitarudi umelizwa.
Acha uongo ndugu, elimu tu. Kama not brilliant enough utalizwa tu.
 
Nimekupata
 


Yaani nimecheka kama mazuri aiseee! kushangaa shangaa na kutazama vitu vya kawaida mimi kwa kawaida awe ana shida hana shida sina kabisa dk 5 za kukusikiliza. Eti nina madini kwani wewe ni kwa sonara?
 


Eti madini na bado mtu anakuuliza unakwenda wapi unamjibu as if amekutuma au anakulipa
 
Ungenyamaza kimya, nani angekuona Bashite?
 
Ungekaa kimya nani angekuona Bashite?
 
  1. Pole ndugu katika maisha yako ogopa biashara ya madini, kwanza toka alikotokea na madini yake kazi ngumu aliyofanya hadi kuyapata aje akutafute kwa ajili ya soko kwa namna yoyote hujastuka tu wachimbaji wote wanajua masoko na thamani ya madini acha tamaa ya kupata fedha za haraka hivyo ulijiona una bahati basi Ushaipata mkuu
 
safi sana washamba kama nyinyi wacha mpigwe tu
 
Mwizi dawa yake ni kuchwomwa moto akakutane na Lucifer huko aendakoo mi kwa upande wangu si mtibu mwizi nilishaapaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…