THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,228
- 2,036
๐๐ hatujapishana ila mimi sina papara alafu nimezoea pesa ya jasho nakuumiza kichwa. Si pesa ya chaap kwa haraka!Kuna kijana namfahamu alinitafuta aniunganishe kazi Un nimpe laki 2
Nikajiuliza pesa tenaa ๐๐๐๐ mi mtu akishaniambia nitoe pesa hanioni