Matangazo yanayopotosha

Matangazo yanayopotosha

Mwita 25, naona hata na ww ni kuku coz umezaliwa na kuku. Kuku hawezi zaa binadaam. Watch ur mouth!
 
mi napenda sana epic nation! Matangazo yao ni ya viwango ila huduma ndo duu!
 
mimi naumia sana ninapowaona wasichana wadogo
wanaingia kwenye mitego ya wanaume,
sipendi kabisa hii.
na mimi nafurahi sana ninaponasa kwenye mitego ya wasichana wadogo... raaaaahaaaaaaaa
 
kuna tangazo moja la chandarua, yule bibi na bwana wanaambia mambo ya kufunga milango na kushusha 'neti'....yaani muda wa tangazo ni asbh/mchana halafu wao wanaongelea mambo ya kulala....hovyo kabisa

Halafu tena limekaa ki mchezo wa 'baba na mama mno'....
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Huwa wanasema "When a boy and a girl are out at night, na msoquito akaingia kwenye sketi ya msichana, unajua atauma nini? Atauma mkono wa a boy.
boyz huwa tunazilinda sana zile sehemu zilizofichwa na sketi zisije kuumwa na MBU.Nalog off
 
Tangazo lililo nikera mpaka leo ni lile la ARI MPYA,NGUVU MPYA NA KASI MPYA PIA TUMETHUBUTU NA TUNASONGA MBELE
 
Back
Top Bottom