Matangazo yamezidi, ni kero kwenye vituo vya redio

Mi Radio za bongo nasikiliza mziki tu basi ukiisha Nazima radio.

Kwa mantiki hiyo 24/7 Nasikiliza choice FM 102.5 Dar.

Nikihitaji habari naingia mtandaoni/Social media.

Kusikiliza radio za bongo enzi hizi ni Sawa na kununua gazeti hawana jipya na ubunifu ni ziro.
Ni kweli kabisa redio zetu hazina contents za maana ni blaabla na matangazo full time. Na siku hizi wanachezesha kamari kila saa! Ukitaka news za maana nenda tu kwenye social media. Wanatakiwa kujifunza kwenye redio za wenzetu walioendelea kama BBC n.k. Huko hukuti huu upuuzi wa kwetu. Kituo cha redio kinachezesha kamari.... serious???
 
Hii sasa imekuwa too much ingawa mimi sisaidii kulipa mishahara hao watangazaji wenu na mnatumia hayo matangazo labda kulipa hao watangazaji kiukweli vituo vya radio vya Tanzania vinakera sijajua kwa nchi nyingine kwa sababu sisikilizi vituo vya radio vya nchi nyingine.

Matangazo yamezidi tena siku hizi kuna radio ya ya bwana Big wameweka kabisa automatic zikipita dakika kadhaa tangazo linakuja kwahyo kama kuna kitu kilikuwa kinaongelewa kinakatishwa wanaporud wanaanza tena matangazo mengine unasikiliza radio mpaka unaona kero.

Wanaanzisha mijadala haiishi ni matangazo tu siyo hao tu hata wale wa mawingu nao ni hvyo hvyo ingawa wa mawingu wana unafuu kidogo.

Halafu cha ajabu wanarudia matangazo yaleyale.

Ni kweli kabisa.......kuna kipindi kama jioni ya leo EFM ni kizuri sana ila matangazo yanakukatisha tamaa ya kusikiliza
 
Back
Top Bottom