Blue band wanamatangazo mazuri.Ukitaka kujua bongo tuko nyuma kwenye ubora wa matangazo jaribu kuangalia citizentv ya Kenya.
Bongo matangazo mazur labda ya makampuni ya simu tu mengne hovyo.
Kheeeee wenzio wanatangaza Ili ununuzi uwe wa hali ya juu we umesusa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji57]Tangazo linatosha kabisa kusababisha mtu uone bidhaa ni fake, hata kama nina wazimu, siwezi nunua lile godoro
Hata hili la Chedi na grp lake la ma ex whatsap, nini sasa kile?
Nani anajali Ndg yangu....nikiangaliaga Matangazo ya jamaa wa West Africa au hapo Kenya daah..hata kama nitangazo la Pipi linakuwa la ukweli hapa kwetu MTU anatangaza Cement unaishia kucheka tuWachague basi mtu wa maana, sioni talent ya Majuto kabisa
Ivori buku buku,ivori buku buku x3Jero jero! Jero jero! Jero jero!!
Sio tu hayana mvuto ila hayafai kutengenezwa na watu wanaojielewaSijui waandaaji waliwaza nini, matangazo hayana mvuto
Sijui kama unamaanisha lile la TV then Mchezaji wa Simba wa zamani NTEZE JONH LUNGU anatokea anatokea anasema HAIJABADILIKA kama nilile waKENYA ndio wametengenezahiyo namba 1 safari ni safiri ni kisoda kimoja kinasafiri mikoa kibao kwa usafiri tofauti tofauti tu dah hv jamani naweza nikapata wapi copy ya hili tangazo niwe naweka tu naliangalia nabuludika dah nakumbuka kitambo na HITACHI yetu inchi 21 hatari sanaa
Mbona umesahau lile la maji ya kilimanjaro asubuhi wakati wa kipindi cha BBC yule mtoto anadai kutunzwa na mamaake then mamaake anampatia maji! Lina bore kichizi!Linaboa kuliko matangazo yote mnayorusha. Jaribuni kuwa creative. Yote ya magodoro na ivory sweets.
Inatusababisha baadhi yetu tuchukie products zenu
Madee nae ana tangazo,teh teh
Naona ndio cheap labour ,matangazo ya gharama wenye makampuni hawataki kujihusisha nayo,unadhani ingekuwa Scanad au Ogvily wangeleta huo ujinga angalia matangazoya wenzetu hapo kwa Uhuru na linganisha na hayo ya akina Majuto hapo ndio utaona utofautiSijui waandaaji waliwaza nini, matangazo hayana mvuto
Omariiiii kazi gani wafanyaaa kazi ni kujikuna ngwarangwaraaa....Zamani bwana matangazo yalikuwa mazuri sana, mpaka unakariri mfano:
1. Safari ni safari
2. Goldstar ile ya " Mr. Moses unamwezi mmoja tu , uihame nyumba yangu"
3. Chai Jaba
4. Chai Bora
5. Cowbell
Siku hzi hamna kitu