Matangazo ya Mzee Majuto ITV yanaboa

Kitty Galore

JF-Expert Member
May 24, 2011
345
100
Linaboa kuliko matangazo yote mnayorusha. Jaribuni kuwa creative. Yote ya magodoro na ivory sweets.

Inatusababisha baadhi yetu tuchukie products zenu
 
Matangazo mengi ya hapa nchini ni mabovu ukiondoa Yale ya makampuni ya simu
 
Matangazo mengi hapa nchini ni zero creativity, zero investment
Ni matangazo ambayo hawataki mtu aangalie tena

Ivory matangazo yao yote mabovu sana

Azam ndo ana matangazo mabovu mno sijui hizo camera zake HD zinafanya kazi gani

Kutokana na ubovu wa matangazo nishawishika kusema Tanzania hakuna marketing agency nzuri

Tigo matangazo yao yote yametulia kuanzia lile la kwanza kabisa la joti anaenda dukani hadi hili la whatsapp yote yametulia sana
Vodacom nao buree kabisa

Kwa anae angalia Citizen ya Kenya kule Matangazo ni mengi na yenye akili sijui Watanzania tulikosea wapi kila kitu tunashindwa

Basi tuseme achana ma hayo matangazo bidhaa zenyewe za kutangaza hakuna yaani watu wanafanya biashara ilimradi imefanyika
Sioni makampuni makubwa kama metl wakiwekeza kwenye matangazo

Consumer products nyingi hazitangazwi labda kutokana na kutokuwa na competition au tatizo ni sisi Watanzania
 
Ni kweli bongo matangazo hayani ubunifu kabisa sijui ni wateja kuwa wabahili au watengenezaji kukosa ubunifu..Ukiangalia channel za kihindi kuna matangazo mazuri hadi unatamani lirudiwe tena ufaidi..hapa bongo ni tofauti kabisa yani matangazo yakijinga na matangazo ya magodoro ndo yanaongoza kwa ubovu..!!
 
Haaaa kuna lile la Magodoro kuna wale kina Mama.. wanavyoongea sasa lol.. kuna mmoja anasema kantangaze...
 
Kutengeneza Tangazo ni Gharama sasa kibongobongo...wanarahisisha....ili mradi MTU amepita kwenye Camera basi duu
 
Hakuna tangazo ambalo lilanibia kama lile tangazo la magodoro gani sijui et jini ndio analeta. Yaan hakuna uhalisia wala mantiki yeyote. Zero kabisaaaa, et hilo nalo mtu alikaliza akili yake chini akabuni. Watanzania tumerogwaaa!!

Tangazo la hovyo kuliko.......
 
Hakuna tangazo ambalo lilanibia kama lile tangazo la magodoro gani sijui et jini ndio analeta. Yaan hakuna uhalisia wala mantiki yeyote. Zero kabisaaaa, et hilo nalo mtu alikaliza akili yake chini akabuni. Watanzania tumerogwaaa!!
Kuna tangazo la NHIF nimeliona leo yani hadi nimechoka,,hao watu waliowatumia kuigiza kama familia yani daah
 
Linaboa kuliko matangazo yote mnayorusha. Jaribuni kuwa creative. Yote ya magodoro na ivory sweets.

Inatusababisha baadhi yetu tuchukie products zenu
Jero jeroo jero jeroo,umechelewa toka nje,unakwenda wapi rudi kakae,hah hah King Majuto .
 
Back
Top Bottom