Umenikumbusha mbali mkuu tangazo la jambo kubwa ndogo na jambo katikatiZamani bwana matangazo yalikuwa mazuri sana, mpaka unakariri mfano:
1. Safari ni safari
2. Goldstar ile ya " Mr. Moses unamwezi mmoja tu , uihame nyumba yangu"
3. Chai Jaba
4. Chai Bora
5. Cowbell
Siku hzi hamna kitu
yaan hili tangazo ndoo nikiliona huwa nabadili chanel, ovyo kabisa!!!!Kuna lile la baba wa bibi harusi kasahau zawadi
Umenikumbusha mbali mkuu tangazo la jambo kubwa ndogo na jambo katikati
Jero jeroo jero jeroo,umechelewa toka nje,unakwenda wapi rudi kakae,hah hah King Majuto .
Hakuna tangazo ambalo lilanibia kama lile tangazo la magodoro gani sijui et jini ndio analeta. Yaan hakuna uhalisia wala mantiki yeyote. Zero kabisaaaa, et hilo nalo mtu alikaliza akili yake chini akabuni. Watanzania tumerogwaaa!!
La Joti ndio linaboa zaidi. Lile analochat wassap na bebi wake... Huwa nikiliona naona halina maudhui yoyote. Full kichefu chefu...
Kutengeneza Tangazo ni Gharama sasa kibongobongo...wanarahisisha....ili mradi MTU amepita kwenye Camera basi duu
hiyo namba 1 safari ni safiri ni kisoda kimoja kinasafiri mikoa kibao kwa usafiri tofauti tofauti tu dah hv jamani naweza nikapata wapi copy ya hili tangazo niwe naweka tu naliangalia nabuludika dah nakumbuka kitambo na HITACHI yetu inchi 21 hatari sanaaZamani bwana matangazo yalikuwa mazuri sana, mpaka unakariri mfano:
1. Safari ni safari
2. Goldstar ile ya " Mr. Moses unamwezi mmoja tu , uihame nyumba yangu"
3. Chai Jaba
4. Chai Bora
5. Cowbell
Siku hzi hamna kitu
Yote hayo ni pumba tu. Tatizo la kukosa weledi wa kazi. Wanaonkota okota watu huko mtaani na vikampuni vyao vya mfukoni wanawapa kazi...Hata hili la Chedi na grp lake la ma ex whatsap, nini sasa kile?
Natamani wayarudiehiyo namba 1 safari ni safiri ni kisoda kimoja kinasafiri mikoa kibao kwa usafiri tofauti tofauti tu dah hv jamani naweza nikapata wapi copy ya hili tangazo niwe naweka tu naliangalia nabuludika dah nakumbuka kitambo na HITACHI yetu inchi 21 hatari sanaa