Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
....teh teh teh teh...sasa ntakujibu nini Mr Much-Know kwa hayo Mashauzi kama Isha!Swali halibiwi kwa swali au ndivyo mnavyofundishwa huko kwenye Makambi mnayoita Shule
....teh teh teh teh...sasa ntakujibu nini Mr Much-Know kwa hayo Mashauzi kama Isha!Swali halibiwi kwa swali au ndivyo mnavyofundishwa huko kwenye Makambi mnayoita Shule
Matangazo ya biashara ni kitu kinachotumia muda, akili, ubunifu na elimu kutengenaza. Ni sanaa tu kama uigizaji. Sasa ukiangalia level ya uigizaji Tanzania sidhani kama kuna tegemeo la kuwa na matangazo mazuri. Labda watengenezee nje eg KenyaNi kweli bongo matangazo hayani ubunifu kabisa sijui ni wateja kuwa wabahili au watengenezaji kukosa ubunifu..Ukiangalia channel za kihindi kuna matangazo mazuri hadi unatamani lirudiwe tena ufaidi..hapa bongo ni tofauti kabisa yani matangazo yakijinga na matangazo ya magodoro ndo yanaongoza kwa ubovu..!!