Matangazo ya Mzee Majuto ITV yanaboa

Matangazo ya Mzee Majuto ITV yanaboa

Linaboa kuliko matangazo yote mnayorusha. Jaribuni kuwa creative. Yote ya magodoro na ivory sweets.

Inatusababisha baadhi yetu tuchukie products zenu
Matangazo hayo hayatengenezwi na ITV.....
 
Wanaomuandikia script Majuto wakapimwe akili
 
Matangazo mengi ya hapa nchini ni mabovu ukiondoa Yale ya makampuni ya simu
Makampuni ya simu yana pesa kuliko watengenzaji wa Ivory sweet na Magodoro, hivyo hata uwekezaji kwenye matangazo lazima utofautiane
 
Wewe ni wivu unasumbua kama hupendi hayo matangazo kwani unalazilishwa kuangalia?
 
wakaombe ushauri kwa mtenengeza matangazo wa tigo....
 
Mkuu, kwani tatizo liko kwa ITV ama wamiliki wa matangazo hayo kwa kutobadilisha mifumo ya matangazo yao!
 
Linaboa kuliko matangazo yote mnayorusha. Jaribuni kuwa creative. Yote ya magodoro na ivory sweets.

Inatusababisha baadhi yetu tuchukie products zenu
MKUU hata mim mwanzoni matangazo ya majutu sana sana ya Ivory yalikuwa wananiboa sana. Ila nimekuja kugundua walengwa wa haya matangazo (watoto) wanayapenda sana.
Mfano kabla taarifa ya habar haijaanza angalia jinsi watoto wadogo wanavyoikodolea hilo tangazo. Ingawa tangazo ni bovu.. ila ujembe umefika kwa walengwa
 
Tatizo nafikiri lipo kwa wabunifu matangazo na waongozaji,hawana weledi wa fani hizo kabisa.Matangazo mengi hayana mvuto.Ushauri;wangejaribu kuiga matangazo ya Tv's zingine ili waweze kuja na matangazo yenye viwango.Hata vifaa kama camera wanazotumia wangezingatia viwango
 
Back
Top Bottom