matangazo ya biashara!

matangazo ya biashara!

mi napenda hili la airtel wamekata hasa mtu wa pili..
 
Hebuuuu jitokezeee, KIIIWII!!!!!!!!! simamaa, mbele za watuuuuuuu.....
Naenda kupata mng'aro wa kipekee na mng'aro wa ajabu, KIIIWIIII!!!!!

wanaimba tena weeee...
Halafu mwishoni wanamalizia:

"Kiwi hutunza viatu vyako kwa muda mrefuuuuuu"

Hivi hili tangazo bado lipo wajameni?
 
Jengine ni lile la: "Hebu sema Lak,, halafu sema Mi'li'oni"
 
Mi napenda lile la watoto wa mtaa wa Ohio miaka ile wakiona wazungu utawasikia,
Look,my milk is stendingi
 
Wanjanja wa town
( ruttashobolwa& Madame B) wanabofya kwa tsh 25 kwa sms, facebook na tweeter bure

VODACOM KAZI NI KWAKO
 
Hebuuuu jitokezeee, KIIIWII!!!!!!!!! simamaa, mbele za watuuuuuuu.....
Naenda kupata mng'aro wa kipekee na mng'aro wa ajabu, KIIIWIIII!!!!!

wanaimba tena weeee...
Halafu mwishoni wanamalizia:

"Kiwi hutunza viatu vyako kwa muda mrefuuuuuu"

Hivi hili tangazo bado lipo wajameni?

duh la zamani sana! cdhan kama bdo lipo
 
Madam Rita fungua njia mtoto aanza kutambaa..nalikubali sana lile ni la Zantel.
 
•Omary kila siku wajikuna ngwala ngwala ebu chukua kioo upeleke kuleeee!
•Maimuna
 
nyumba nyingine bwana, nyumba nyingine bwana ATTENTION.....
 
Back
Top Bottom