matangazo ya biashara!

matangazo ya biashara!

Mie nalipenda hili tangazo

[video=youtube_share;6OzJXeq9gqw]http://youtu.be/6OzJXeq9gqw[/video]
 
hili ni tangazo gani mkuu mbna sijalipata?

Hili kwa wale tuliozaliwa miaka ya 70s enzi hizo radio stationi ni RTD matangazo ni baskeli ya shang chang,kiwi,mbuni,bata,yoranda,cost za taiwan!! Enzi hizo ukimwi hakuna!
 
maziwa ya kcc,
huwa pia na nguvu,
kwa watoto na watu wazima.
jingine
semea tena na tena
NDC

jingine:
lifebuoy
sabuni bora kwa afya yako.

jingine:

everready
betri bora iliyo imara.

mdau lete matangazo mengine ya 1947¡
 
maziwa ya kcc,
huwa pia na nguvu,
kwa watoto na watu wazima.
jingine
semea tena na tena
NDC

jingine:
lifebuoy
sabuni bora kwa afya yako.

jingine:

everready
betri bora iliyo imara.

mdau lete matangazo mengine ya 1947¡

duh,me mtoto wa .com ntayajulia wapi?
 
Tairi General,Tanzania
habari nzuri zawajia za tairi bora za general
zitengenezwazo Tanzania,kwa magari
aina yote kubwa na ndogo, Tairi general,
tairi tayari,tujitegemee sisi wenyewe
kwa tairi bora za general...................
 
Omari kazi gani unafanya kazi kujikuna ngwararaaangwararaaaa!
maziwa ya kcc,
huwa pia na nguvu,
kwa watoto na watu wazima.
jingine
semea tena na tena
NDC

jingine:
lifebuoy
sabuni bora kwa afya yako.

jingine:

everready
betri bora iliyo imara.

mdau lete matangazo mengine ya 1947¡
 
kuna moja la ccm linarushwa na 'NGU Television' linasema Chukua Chako Mapema
 
then wanaonyesha kidole chini ya kitovu wanaongeza 'no wota'



Umenikumbusha, huo muendelezo nilikuwa nimeusahau,kalini kuna waliobahatisha kwa kazi hiyo kuna mmoja namfahamu aliokotwa na mzungu sasa hivi anaishi Stuttgart na ana watoto wake watatu..
 
Tigo. Express yourself. (msitafsiri ya kwenu).... Safari ni Safari.
 
maziwa ya kcc,
huwa pia na nguvu,
kwa watoto na watu wazima.
jingine
semea tena na tena
NDC

jingine:
lifebuoy
sabuni bora kwa afya yako.

jingine:

everready
betri bora iliyo imara.

mdau lete matangazo mengine ya 1947¡
Cafenol ni bora na ina asprin peke yake, hutuliza maumivi ya homa mafua na flu.
 
Vyombo vyanguuuu, City music soundiiiiiiii sijaonaga
 
mi napendaga lile la fanta zmani ,nina kiu huyu fred ameenda wapi na fanta zetu,jamani ni nani yule kwenye jukwaa ni fred na ana fanta zetu aaah....
 
Back
Top Bottom