msani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 1,801
- 1,191
Wana JF leo jioni mkurugenzi msaidizi wa elimu wa bodi ya mikopo amesema, nammnukuu:
"WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO MWAKA HUU WAJARIBU MWAKA KESHO"
nawaonea huruma watoto wa wakulima waliozungukwa na mdini na rasilimali kibao, nadhani mwaka kesho hali itakuwa mbaya zaidi,huku watoto wa vigogo wakipeta ktk elimu bora.
Mnasemaje jamani wana jf?