Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,730
- 536
Yeyote mwenye akili atalidharau tu!
Ndo maana hata vyombo vya habari, magazeti, redi na tV hawakutoa umuhimu kwa tamko hilo; bila shaka watasema nao ni mfumo Kristo!
Yeyote mwenye akili atalidharau tu!
Soma hii defensive mechanism ya kikwete na waislamu!
"ilani ya ccm amabyo ni ya kikwete muislamu.......2005...ccm na kikwete itahakikisha suala la mahaka na kadhi linashughulikiwa.........pure udini,,,2010 waislamu....hatutachagua ccm km hawataweka mahakama ya kadhi kwa lazima..............?...baada ya uchaguzi sikia....kikwete yuleyule....kwenye uchaguzi kulikuwa na udini....yaani kiongozi dhaifu na mlalamishi eti kuna udini wakati ccm na kikwete ndio wanaotengeneza udini nchini?.....shule za kiislamu zikifeli kuna udini........dini gani haina msaada wowote ktk jamii zaidi ya vurugu na kulalamika na kutumia defensive mechanism za kiislamu?
nasema dunia hii bila uislamu ingekuwa salama sana
WanaJF mmenotice? We are being spammed! By Chief masanja.
Na hao maaskofu pamoja na usomi wao mbona wameshindwa hadi leo kuwatofautishia waumini wao baina ya binaadamu na mungu. Mnadanganywa mungu binaadamu, aliyezaliwa na mtu (yaani ana mama sasa sijui mkuu kicheo ni nani huyo mungu au mama yake), akavishwa nepi, akajinyea, akachambwa, akalala usingizi ( ina maana wakati kalala mungu huyu hajui linaloendelea duniani, aaahh nimesahau labda akilala mungu mwenzie "mungu baba" anachukua zamu ya kuangalia mambo yote yanakwenda sawa). Yaani hadithi hizi kwa msomi haziingii akilini, lakini wenyewe mnajiita wasomi, ndiyo huku? Lakini cha kustaajabisha ni kwamba hao mnaowaita mazoba waliokwenda madrasa jambo hili wameweza kulingamua na kutofautisha baina ya binaadamu na yule anayestahiki kuitwa MUNGU.
hapo kwenye red.........Wanafuata katiba................ hairuhusu kuhoji matokeo ya uraisi yaliyokwishatangazwa na tume ya uchaguzi.................soma katiba 41-7HILI LILIKUWA TAMKO RASMI LA WAISLAM KUIKEMEA SERIKALI ISIKAE KIMYA PINDI KINAPOTOKEA KIKUNDI CHA WATU CHACHE (MAASKOFU) NA KUTAKA KUIINGIZA NCHI KATIKA UVUNJIFU WA AMANI. KWANI MAASKOFU HAWA WANAHISTORIA KUBWA SANA DUNIANI YA UVUNJIFU AMANI eg RWANDA.
WAISLAM WAMEITAKA SERIKALI ITOE TAMKO RASMI KUWAKEMEA HAWA WANAFIKI KWANI WANGEKUWA WAKWELI WANGEPINGA MATOKEA YA RAIS NA SIO HAYA YA UMEYA.
NA KAMA WANATAKA SIASA BASI WAVUE MAJOO YAO NA WAINGIE KWENYE SIASA NA SIO KUTUMIA DINI KAMA KICHAKA CHA KUHATARISHA AMANI YA NCHI.
CHADEMA ACHENI UDINI
This is non-sense unataka watu wasiwe na difference of opinion au ulitaka maaskofu wasikosolewe?waende shule. la sivyo watabaki kulaumu kila siku. non-sense.
Hebu tueleze uchochezi uko wapi??? Nadhani wewe ndie una ufinyu wa akili.
Hebu tueleze uchochezi uko wapi??? Nadhani wewe ndie una ufinyu wa akili.
Wale wale kama huoni hapo hata nikielezea mpaka asubuhi hutaelewa kutokana uwezo wako wa kuchanganua mambo kuwa mdogo na ufinyu ule ule kama wenzio waliotoa tamko. Kikwete ni mwisilamu amekaa madarakani miaka mitano inaingia akilini kweli kupendelea wakristo hoja mufilisi kabisa.
Mufti: Waislamu Acheni Kulalama, Tafuteni Elimu
MUFTI wa Tanzania, Shekhe Mkuu Issa Shaban bin Simba amewataka waumini wa dini ya kiislamu nchini waache kubweteka na kutoa lawama kwa
serikali badala yake wajikite zaidi kwenye elimu ili kukomboa maisha yao.
Alisema hayo jana wakati akihutubia waumini wa dini hiyo mkoani Geita, ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye harambee ya ujenzi wa mabweni ya wasichana na bwalo katika Shule ya Sekondari ya Islam.
"Huu ni muda mwafaka kwa waislamu kuanza kujikita na kukazania zaidi suala la elimu, na si kubaki kulialia pekee kuomba kuchaguliwa na kupewa vyeo serikalini, hivyo tuchangamke tusiendelee kubaki nyuma tupige hatua kama wenzetu," alisema Mufti.
Alisema waumini wa dini hiyo nchini wako nyuma kwenye suala la kuwaandaa watoto wao katika elimu, jambo alilosema kuwekeza katika ujenzi wa misikiti pekee hakusaidii, kwani iko hatari ya misikiti hiyo kubaki kama maghala ya kutunzia vyakula.
Alisema mwislamu yoyote anayetaka kuwa mfuasi wa kweli wa dini hiyo lazima ajikite katika elimu kwa sababu ndio mahali pazuri pa kuwekeza na si kwingineko.
Mufti pia alizungumzia namna ya kupata walimu wazuri, akisema huwezi kuwapata bila kulipa mishahara mizuri.
Katika harambee hiyo, jumla ya sh. milioni 17 zilipatikana ambapo Mufti Simba alichangia sh. milioni 5 na Mkuu wa Wilaya ya Geita, Bw. Fillemon Shelutete,ambaye aliiwakilisha serikali alichangia sh. milioni 1.5.
Awali, Kaimu Mkuu wa shule hiyo, Bw. Deusdedith Omchamba katika taarifa yake, alisema ujenzi huo ulibuniwa na waislamu wilayani humo mwaka 2007 baada ya kubaini kuwa wanafunzi wanaomaliza elimu ya msingi wengi wao wakiwa wa wasichana hukosa nafasi za kujiunga na masomo ya sekondari.
Alisema ujenzi wa mabweni mawili ya wasichana utagharimu sh.320,000,000 huku ule wa bwalo la chakula na jiko vitagharimu sh. 624,087,500.
Alisema shule hiyo ya mchanganyiko ambayo inatarajiwa kufunguliwa Februari 15, mwaka huu, hadi sasa imetumia sh 1,080,175,000 na kwamba hivi sasa wapo walimu watatu