Matajiri wote wangekuwa na Moyo kama wa Bill Lugie Tanzania tungekuwa mbali sana

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,412
11,553
Nashukuru sana kuwa JF na pia Max Melo kumkaribisha humu Billionea Lugano. Huyu jamaa kwa kweli amekuwa model wa vijana wengi wachapakazi hapa Nchini nadhani na nchi za nje pia ambazo kutwa kucha anatembelea.

Jamaa hana majivuno, anashare mawazo na sisi watu wa daraja la kati wa uchumi wa kati. Hana ugomvi na mtu. Sijawahi ona hata akirudishia Tusi.

Jamaa anatu inspire sana namna ya kutafuta pesa. Mimi sioni sababu ya kumchukia mtu mbaye doesnt hurt us in anyway. A very humble man. Why tumchukie? Anyway JF imenikutanisha na Bilionea ambaye anajitahidi kupata muda kuchat nasi.

Chukulia mfano na Mo Dewj, Bakhresa etc nao wangekuwa angalau kwa week wana saa moja kutupa habari za utamu wa maisha ya kuwa na pesa tungekuwa wapi? Tungekuwa inspired zaidi.

Tajiri Bill Lugano anasema tuachane na kunyatia mademu kuwala kimasikhara, tunyatie fursa. Tusikimbizie mademu. Tukimbizie michongo. Anasema ukiwa na pesa mademu ndo watakuwa wanakukimbizia wewe. Halafu sometimes unawapa tu pesa unawaaambia hata wasikuguse wasiche kukutia shombo....😂😂😂

USHAURI WANGU.

Moderators, Members wa Jf, Serikali na Raia Wema wote TUMPATIE ULINZI Bill Lugano aka BILL LUGIE. na pia awepo katika TUNU ZA TAIFA.
 
Mbona Kama wa nyumbani Mwanjelwa huyo? anapatikana mitaa ipi tukafahamiane?
Hata mimi hilo jina kalitoa wapi kama sio mnyaki labda angekuwa ni mlatino nisingeshangaa maana wanatumia hilo jina ila kwa mbongo ni wanyaki tu.
 
Back
Top Bottom