Matajiri wote wangekuwa na Moyo kama wa Bill Lugie Tanzania tungekuwa mbali sana

najua hata wew ukipata pesa humu hutosema mbinu gani ulizotumia, na hii inafanywa na hata wale malegend mabilionea wa hii dunia kwa kutunza siri za mafanikio yao, watakacho kusimulia ni background ya maisha yao tu ya kuuzunisha ili uwape attention but sio mbinu zao za kimaisha&connections.

Ama unazan hawataki kuwa uko kilele cha utajili? hakuna anaependa ushindan ktk mambo yake anayofanya, zaid ya kuwa kileleni juu, na ili kubaki kilelen huficha mbinu zao na siri za mafanikio ili wabaki ivyo, na wachini wabaki kujipambania na kujiuliza maswali yakijinga kuwahusu hawa matajiri wakat huo mwenzako anawaza mbinu mpya za kuzid kukuweka kizani usimjue

achana na hao wachache walioamua kula vizur vyao na jamii, lkn ukwel utabaki kuwa siri ni siri na itabaki kuwa siri daima na milele,

kama dini kubwa tu zina siri ambazo hawataki waumini wao wazjue, maana wakijua watakosa mapato na wafuasi, sasa jipambanie mwenyewe kuujua ukweli

hawa mnaowasema wakina mo&bakhresa wanachofanya wala sio roho mbaya, bali ni ku maintain business securities ,that's why hata makampuni ya vinywaji hutunza siri za chemicals formulas za vinywaji vyao ili wabaki wao tu ndyo wazalishaj na wabaki na unique bila kuingiliana na mtu, kampuni ya cocacola vinywaji vyake havijulkan na kampuni ya pepsi sabbu za kibiashara na kiusarama kwa bidhaa zao.

acha watu watunze siri mzee baba, mwenye juhudi ya kutafta ndye atakaye pata, wew unaesubili data mezani za kujua nini fulani kafanya, endelea kusubir wakat huo wenzako wanazidi kuchanja mbuga.

Mtunza siri mkuu ni huyo aliewaumba usishangae kwa viumbe wake nao kuiga mfano wake kuficha ficha mambo kwa maslahi yao
 
Back
Top Bottom