Mataifa 10 Yanayoongoza Katika Uzalishaji wa Mafuta Duniani

Ni kweli USA wanatumia mafuta mengi kuliko Nchi nyingi Duniani ila idadi tunayopewa sio ya kweli kuhusu uzalishaji wao wangekua na kiasi hicho wangetaka kutumia hadi jeshi ili wapite hapo Iran..
 
USA anatumia propaganda tuu kuwahadaa watu,
1. Kwanini anaposikia popote Duniani kuwa kuna mafuta lazima akakichafue ili aibe?
2. Kama anaongoza ila matumizi makubwa, aongeze uwekezaji tu wa kuchimba inakuaje anatumia nguvu kubwa kutafuta wizi wa mafuta ya nchi nyingine?
3. Kama Hormuz inapitisha 20% tu ya mafuta yote Duniani kwanini bei imepanda zaidi ya asilimia ishirini katika soko la Dunia?
 
USA walikua wanampa silaha Savimbi ili wachukue almasi na kuchimba mafuta baharini baada ya Savimbi kuawa tu huo ujambazi wao uliisha na walilalamikia sana Waosouth ambao ndio walifanya mipango ya kumuua Savimbi leo Angola ndio wana bei ndogo ya mafuta kwa Wananchi wao kuliko Nchi yeyote ya Afrika..
 
Back
Top Bottom