Idd hashim
Member
- Jan 4, 2013
- 79
- 17
Mataila wawili wa mirembe walipanga kutoroka kambini ,walipanga wakifika getini wamuue mlinzi sasa walipofika pale wakakuta mlinzi hayupo wakasema kwa huzuni loooh! Mlinzi hayupo safari yetu imekwisha haribika turudi!