Wewe ndo unatufanya waislam wote tuonekane hatuna akiliUmesahau kuwa CCM ndiyo chama tawala? Umesahau kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwenyekiti wa CCM na Katibu Mkuu wake ni Dr. Bashiru Ally?
For your information, hakuna serikalini mwenye mamlaka inayomzidi nguvu Dr. Bashiru Ally isipokuwa Rais tu.
Vipi watumishi wa Umma nao wamwone Bashiru ili waongezwe Mishahara? ahaaaa ccmChama kipo kuisimamia serikali
Hao madaktari wametumia akili sana kumuo KM CCM
Kwani Lissu na Da Mange wanasemaje?Tangu lini Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM akawa na mamlaka ya Ajira ya watumishi wa Umma ?
View attachment 1098812
Dah!,Mpka nime log out jf baada ya kusoma hiki kituko.Umesahau kuwa CCM ndiyo chama tawala? Umesahau kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwenyekiti wa CCM na Katibu Mkuu wake ni Dr. Bashiru Ally?
For your information, hakuna serikalini mwenye mamlaka inayomzidi nguvu Dr. Bashiru Ally isipokuwa Rais tu.
Huo ndiyo ukweli mchungu. Tanzania hata uwe waziri, ukifukuzwa chama huna kazi.Dah!,Mpka nime log out jf baada ya kusoma hiki kituko.
Kwahiyo Elisha Osati ameamua kuitumia MAT ili kupata ubunge siyo ?Hii amelifanya Dr.Elisha Osati kwa ajenda zake za kisiasa , ana mpango wa kugombea ubunge huko kwao Musoma, hili suala waziri wa afya na naibu wake walishachukua hatua na kulitolea ufafanuzi wakati wakiwasilisha na kuhitimisha hoja ya wizara yao bungeni mjini Dodoma.
Nimekudharau sana !Umesahau kuwa CCM ndiyo chama tawala? Umesahau kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwenyekiti wa CCM na Katibu Mkuu wake ni Dr. Bashiru Ally?
For your information, hakuna serikalini mwenye mamlaka inayomzidi nguvu Dr. Bashiru Ally isipokuwa Rais tu.