MAT na Dr. Bashiru Ally kuna nini ?

Kwa udhalilishaji uliofanyika, huyo katibu mwenezi amechukuliwa hatua gani? Kama hatua za kumuondoa kwenye wadhifa daktari zilitangazwa hatua gani zimechukuliwa kwa katibu mwenezi?
 
Umesahau kuwa CCM ndiyo chama tawala? Umesahau kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwenyekiti wa CCM na Katibu Mkuu wake ni Dr. Bashiru Ally?

For your information, hakuna serikalini mwenye mamlaka inayomzidi nguvu Dr. Bashiru Ally isipokuwa Rais tu.
Wewe ndo unatufanya waislam wote tuonekane hatuna akili
 
Kivuyo ww ni mtu muhimu sana kwa afya zetu. umerudi tunashukuru tunaamini utendaji wako tutengenezee mazingira mazuri ya kupata huduma kwa wakati.
 
Sishangai dr. Kutolewa kwenye nafasi yake na kurudishwa ila nachoshangaa nakushindwa kuelewa ni viongozi wa chama kuwa na uwezo wakufanya hivyo
 
Ikifikia mahala tukashindwa kutofautisha kati ya madaraka ya KISERIKALI na kichama tutavurugana SANA.... Na hasa kama mvurugano huo unahusisha PROFESIONALISM...

Ni mwehu tu ndo anaweza akadhani madaraka ya UTUMISHI yabaweza yakachukuliwa na mwingine yeyote, achia mbali CHAMA
 
Umesahau kuwa CCM ndiyo chama tawala? Umesahau kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwenyekiti wa CCM na Katibu Mkuu wake ni Dr. Bashiru Ally?

For your information, hakuna serikalini mwenye mamlaka inayomzidi nguvu Dr. Bashiru Ally isipokuwa Rais tu.
Dah!,Mpka nime log out jf baada ya kusoma hiki kituko.
 
Hii amelifanya Dr.Elisha Osati kwa ajenda zake za kisiasa , ana mpango wa kugombea ubunge huko kwao Musoma, hili suala waziri wa afya na naibu wake walishachukua hatua na kulitolea ufafanuzi wakati wakiwasilisha na kuhitimisha hoja ya wizara yao bungeni mjini Dodoma.
Kwahiyo Elisha Osati ameamua kuitumia MAT ili kupata ubunge siyo ?
 
Umesahau kuwa CCM ndiyo chama tawala? Umesahau kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwenyekiti wa CCM na Katibu Mkuu wake ni Dr. Bashiru Ally?

For your information, hakuna serikalini mwenye mamlaka inayomzidi nguvu Dr. Bashiru Ally isipokuwa Rais tu.
Nimekudharau sana !
 
Back
Top Bottom