Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,657
- 218,145
Tangu lini Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM akawa na mamlaka ya Ajira ya watumishi wa Umma ?
Kwanini unateseka CCM inapofanya vizuri hujui kwamba Bashiru ni katibu mkuu wa chama kinachoongoza hizo mamlaka za ajira?Tangu lini Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM akawa na mamlaka ya Ajira ya watumishi wa Umma ?
View attachment 1098812
Tulia wewee much know. Ni mahaba tu ya chama ndio yanakusumbuaKwanini unateseka CCM inapofanya vizuri hujui kwamba Bashiru ni katibu mkuu wa chama kinachoongoza hizo mamlaka za ajira?
Fanya kaziTulia wewee much know. Ni mahaba tu ya chama ndio yanakusumbua
Hahaha wee mkaldayo acha porojo jamviniFanya kazi
Kama ni hivyo mbona mabango ya kulalamikia nyongeza za mishahara hakupelekewa Bashiru Ally ?Kwanini unateseka CCM inapofanya vizuri hujui kwamba Bashiru ni katibu mkuu wa chama kinachoongoza hizo mamlaka za ajira?
enzi za uongozi uliotukuka wa Dr Ulimboka huu upuuzi usingetokeaChama kipo kuisimamia serikali
Hao madaktari wametumia akili sana kumuo KM CCM
Wewe na hao madr nani mwenye akili?Tangu lini Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM akawa na mamlaka ya Ajira ya watumishi wa Umma ?
View attachment 1098812
Tangu tuanze mwaka huu sijawahi kukutana na swali la kijinga kama hili !Wewe na hao madr nani mwenye akili?
Si ni wewe unaelia kuwa ma DeD ni makada watiifu wa ccm?,watashindwaje kupokea maelekezo to kwa KM?enzi za uongozi uliotukuka wa Dr Ulimboka huu upuuzi usingetokea
Kwanini unateseka CCM inapofanya vizuri hujui kwamba Bashiru ni katibu mkuu wa chama kinachoongoza hizo mamlaka za ajira?
Wewe na hao madr nani mwenye akili?
Kama ni hivyo mbona mabango ya kulalamikia nyongeza za mishahara hakupelekewa Bashiru Ally ?
Umesahau kuwa CCM ndiyo chama tawala? Umesahau kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwenyekiti wa CCM na Katibu Mkuu wake ni Dr. Bashiru Ally?Tangu lini Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM akawa na mamlaka ya Ajira ya watumishi wa Umma ?
View attachment 1098812
Hii amelifanya Dr.Elisha Osati kwa ajenda zake za kisiasa , ana mpango wa kugombea ubunge huko kwao Musoma, hili suala waziri wa afya na naibu wake walishachukua hatua na kulitolea ufafanuzi wakati wakiwasilisha na kuhitimisha hoja ya wizara yao bungeni mjini Dodoma.Tangu lini Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM akawa na mamlaka ya Ajira ya watumishi wa Umma ?
View attachment 1098812
Tangu lini Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM akawa na mamlaka ya Ajira ya watumishi wa Umma ?
View attachment 1098812