MAT na Dr. Bashiru Ally kuna nini ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,421
215,184
Tangu lini Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM akawa na mamlaka ya Ajira ya watumishi wa Umma ?

Good ,watu waheshimu taaluma za watu.  Ipo hivi watu wengi baada ya kukoment kuu.jpg
 
Hongera Bashiru walau unatoa ushauri na kusimamia, viongozi waandamizi wengi wanafiki.
 
Hongera Sana MAT kwa busara na njia mliotumia kutatua tatizo hili. Ni mtazamo wangu na nadhani pia mtazamo wenu pia mliofanikisha zoezi hili Kua njia hii iliotumika imetatua tatizo lilokwisha jitokeza, lakini pia nifundisho kwa wale ambao wamekua au walidhani Kua wange pata umaarufu au mtaji wa kisiasa kwa kuingilia na kuvuruga utendaji wa kitaaluma kwa madaktari wetu.
 
Kwanini unateseka CCM inapofanya vizuri hujui kwamba Bashiru ni katibu mkuu wa chama kinachoongoza hizo mamlaka za ajira?

Jamaa mambo hayaendi hivyo ? daaah mnasomaga shule gani nyie jamaa ? hapo ni ccm inatafuta sympath ya wananchi mwakani uchaguzi...mambo yakienda hivi tutachelewa sana maendeleo Tanzania, sababu uccm huo huo ndio eti ulimtoa leo wanakuja wanamrudisha, daah....honestly speaking mimi sina chama ila CCM IS RUBISH.....
 
Tangu lini Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM akawa na mamlaka ya Ajira ya watumishi wa Umma ?

View attachment 1098812
Umesahau kuwa CCM ndiyo chama tawala? Umesahau kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mwenyekiti wa CCM na Katibu Mkuu wake ni Dr. Bashiru Ally?

For your information, hakuna serikalini mwenye mamlaka inayomzidi nguvu Dr. Bashiru Ally isipokuwa Rais tu.
 
Tangu lini Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM akawa na mamlaka ya Ajira ya watumishi wa Umma ?

View attachment 1098812
Hii amelifanya Dr.Elisha Osati kwa ajenda zake za kisiasa , ana mpango wa kugombea ubunge huko kwao Musoma, hili suala waziri wa afya na naibu wake walishachukua hatua na kulitolea ufafanuzi wakati wakiwasilisha na kuhitimisha hoja ya wizara yao bungeni mjini Dodoma.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom