Mimi niliambiwa hii..eti zeruzeru hawafi wanapaa mbinguni..nikaamini
Hivi umasikini huu wa Tanzania mpaka lini?
Shule za tech zinapokuwa za mwisho, hivi kuna mpango wa kuwekeza kwenye sayansi nchi hii?
hahaha unanikumbusha wakati wa kula chungwa ukila vipeke vyake nilijua vinaweza ota tumboniMimi nlijiuliza ukipanda,mbegu ya mhindi wa kuchoma/kuchesha utaota mhindi wa kuchoma, niule bila kuuchoma?? Nlishajaribu kila nkila mhibdi naacha baadhi naenda kufukia uote
Hiyo meli ilikuwa inatokea wapi?au uliishia hapo
Mimi nlijiuliza ukipanda,mbegu ya mhindi wa kuchoma/kuchesha utaota mhindi wa kuchoma, niule bila kuuchoma?? Nlishajaribu kila nkila mhibdi naacha baadhi naenda kufukia uote
Mimi nilijua pembeni ya reli wanaruhusiwa kupita wafanyakaz wa reli tuu na wakikukamata mtu mwingine wanakupa kisago
mi nilikuwa naogopa gari hata kama limepaki nikiona zile taa najua macho pia nlijua gari linaweza kwenda hata bila dereva!
pia nkimwona padri mzungu ndiye mungu!