naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,988
- 5,503
1. Mimi nilijua watu wakubwa hawanyi hadi nilipomchulia chooni dadangu ambaye alikuwa mjamzito nikamuona anajikamua yaani nilishangaa hadi leo naikumbuka siku hiyo
2. Mtu akifa (mwanamke) hapa atafufuka ulaya akiwa mzung mwanamme anakuwa na maisha mengine
3. Wakubwa hawajambi
4. Mama hana jina
5. Nilikuwa sijui muda (time) kigoma cha taarifa ya habari kikilia kila mtu anaotea hata kama jua kali namna gani mtu anakurupuka (saa moja)
:A S 109: