hii threads z the best....yan unajua utoton tunakuwaga na maswali kbao yanabaki kutuumiza kichwa tu.
......nakumbuka sijaanza chekechea basi naachwa nyumban na mdogo wangu mimuangalie, mama angu na dada na kaka walienda shamba.....sasa ikapita ndege inapima sijui madini au inafanya maping na kakifaa fulan kananing'ia chini...jaman nilikimbia kama kichaaa kwan nilijua ule ndo mwisho wa dunia...nikawa najiuliza hii ndege hapa kijijin imetokea wapi? afu kwa nn inaenda hadi milima ya kule inarudi hadi upande mwingne....nikajua hii inanitafta mm inazuga tu.aliniokoa baba wa jiran huko njian akanishikilia had wazazi walivorudi.
Kuna baadhi ya mambo yalinifanya niumize akili enzi za uto to
1- mtu akivaa overall (kanyela mumo) anakunyaje?
2-mama akienda kujifungua, je mototo hupitia wapi kutoka tumboni?
3-baba na mama, walizalia pamoja?
4-mwalimu ndie mtu mwenye akili kuliko watu wote?
5-rais ndie mwenye nchi?
Ongezea maswali yalio kutatiza utoton
nlikuwa najiuliza..ukipanda gari za chai maharage...ndani mnapewa chai maharage?
Mimi kilichonipa utata ni hichi hapa na mpaka leo bado nashangaa tu.
Sensual Paradise[ edit ]
In Islam, the concept of
72 virgins (houri) refers
to an aspect of Jannah
(Paradise). This concept
is grounded in Qur'anic
text which describe a
sensual Paradise where
believing men are
rewarded by being wed
[1] to virgins with "full
grown", "swelling" or
"pears-shaped" breasts.
[2][3] Conversly, women
will be provided with
only one man, and they
"will be satisfied with
him".
dah asee utoto ni utoto tu mkuuHata mimi msikitini nilijua hizo hela zinawekwa sehemu katika msikiti then kesho wanakuta Mungu keshachukua.
Jamani utoto!
nilikuwa najua shetani ana sura mbaya..nikiambiwa shetani uyo anakuja nalia natoka nduki then najificha!
Baba alinunuaga viatu flani kama vya Kungfu nikaviiba kupeleka kwa fundi avipunguze nivivae mimi fundi akasema haiwezekani.
Niliwahi kuchukua saa ya baba nikaivaa mguuni kwa sababu mkononi ilikuwa haitoshi (inapwaya).
Niliwahi kuweka maji kwenye kibatari nikidhani itakuwa kama mafuta ya taa.
Mi naishi mkoani wakati mdogo nikisikia MTU anataja Dar-es-salaam picha niliyokuwa naitengeneza kichwani ni kuwa hakuna vumbi wala mchanga ni cement na maghorofa mwanzo mwisho.Ss likizo moja tukapata kachance ka kwenda dar Nilipofika kakaangu ananiambia tushafika aisee ckumuelewa nililia namwambia nataka kwenda dar hapa mbona kuna michanga?
tunazungumzia ulipokuwa mtoto sasa wewe unaleta sayansi? kama vip muulize mulugo atakujibu!
Huyo mjombaa alikuwa hakai Kisutu!Hako ka picha ka daslam wengi kanawachanganya. Hii hadi watu wazima ndivyo wanavyofikiri.